Maziwa ya nn..??Maziwa ndio kinywaji kizuri sana kwa afya, na kinaongeza pato la Taifa pia. Achana na pombe,sio nzuri kwa afya. Badala yake kunywa maziwa
ugimbi ukoje mkuu??Kunywa ulanzi au ugimbi
Kama unaijua komoni ile inayotengenezwa na mahindi basi ndo ugimbi huougimbi ukoje mkuu??
Habari Za Jioni Wana Ukumbi
Nimeamua Nianze Kunywa Bia Hasa Bia za Nyumbani ( Local Beer ) Kutoka TBL Na SBL Ili Kujenga Uchumi Wa Nchi Na kumuunga Mkono Rais Wetu Kipenzi John Magufuli Katika Kuongeza Mapato.
Naombeni Msaada, Ni Bia Gani Nzuri Ninywe Ili Niweze Kuburudika Hasa Wakati Huu Nikiwa Likizo. Ni Bia Gani Nzuri Inayoweza Kunipa Kitambi Pia Ambayo Haina Hang Over?
Karibuni Mtiririke Wanywaji Mliotukuka.

Aaah wapi yesu aligeuza Maji Kuwa mvinyoTahadhari:
Zote ni Pombe na kwenye Biblia ulevi umekatazwa
na yenyewe yanatoka TBL au SBL?Maziwa ndio kinywaji kizuri sana kwa afya, na kinaongeza pato la Taifa pia. Achana na pombe,sio nzuri kwa afya. Badala yake kunywa maziwa