Kipi Kinywaji Kizuri Kwa Afya?

Kipi Kinywaji Kizuri Kwa Afya?

Kinywaji kizuri kwa afya cha kwanza nj maji, inafuata juice ya matunda, then juice ya mboga, wine, beer mwisho soda
Dah bora bia imeipiku soda, hivi bia ya serengeti kutowekwa sukari nini faida yake kiafya?
 
Habari Za Jioni Wana Ukumbi
Nimeamua Nianze Kunywa Bia Hasa Bia za Nyumbani ( Local Beer ) Kutoka TBL Na SBL Ili Kujenga Uchumi Wa Nchi Na kumuunga Mkono Rais Wetu Kipenzi John Magufuli Katika Kuongeza Mapato.

Naombeni Msaada, Ni Bia Gani Nzuri Ninywe Ili Niweze Kuburudika Hasa Wakati Huu Nikiwa Likizo. Ni Bia Gani Nzuri Inayoweza Kunipa Kitambi Pia Ambayo Haina Hang Over?

Karibuni Mtiririke Wanywaji Mliotukuka.
Kunya Tusker, hii haina hangover, yaani asubuhi unakula hata mihogo.
Ila kama una kichwa kizuri karibu sana kwenye ulimwengu wa Safari, ila kama una kazi jiandae kabisa kufukuzwa hasa kama unakunywa kupita kiasi kwa sababu muda mwingine unaamka nazo kichwani hadi asubuhi.
 
Kunywa senetor lager au eagle lager uweke heshima kwa mama watt
 
Save Water Drink Beer
Mkuu wenzako tunakimbia vitambi wewe unakikimbilia?!
Kitambi ni matokeo ya matokeo ya mlundikano wa mafuta ya ziada ambapo yanapozidi huifadhiwa kwenye adipose tissues ambazo mojawapo ya sehemu unazoweza kupata adopose tissues ni kwenye abdomen(maeneo ya tumbo),pia maeneo ya buttocks,under the skin,around the heart,liver etc.
mafuta yanapozidi mwilini na kiwango cha cholesterol pia huwa juu na ndio mwanzo wa magonjwa ya moyo,pressure,kisukari etc.
kwa hiyo mkuu kama unakipenda kitambi na unene kwa ujumla(over weight)pia ujiandae kwa matatizo kama hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom