rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,974
Kwa hiyo ukiamkaga asubuhu wazazi wako ulikuwa unawaambia Mambo ausio??Salam ya kifala.period
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ukiamkaga asubuhu wazazi wako ulikuwa unawaambia Mambo ausio??Salam ya kifala.period
Watu wa ccm mmelemazwa akili, ina maana kweli hujui kwamba Pemba ni Zanzibar?Zanzibar na Pemba ambako wanaelewa maana yake, hilo neno halitumiki.
Mkuu sijaelewa ,Kwa misingi ipi kizungu Ni kwa wajivuni tu.Kama ni mwislamu salimia asalaam aleykum, kwa mkristo bwana asifiwe, kwa ndugu salimia kilugha, ukikutana na wajivuni salimia kidhungu inatosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa ccm mmelemazwa akili, ina maana kweli hujui kwamba Pemba ni Zanzibar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani maana yake ni nini mkuu?!!Nikishakumbuka maana ya "Shikamoo" hata babu yangu simsalimii.
Unajuaje kama mimi ni CCM? Fuatilia post zangu utapata jibu.Watu wa ccm mmelemazwa akili, ina maana kweli hujui kwamba Pemba ni Zanzibar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba uniambie maana ya neno "shkamo"Zanzibar na Pemba ambako wanaelewa maana yake, hilo neno halitumiki.
Mimi nashangaaga kwakweli unakuta mtu mzima kabisa unamsalimia shkamoo yeye haipokei shkamoo yako badala yake anakuambia za sahizi au mambo...nakasirika
Au mwingine anakuwahi kukusalimia utasikia"habari za saahizi "hata Kama wewe ndiyo ulipaswa umuanze, yote hiyo kukwepa shkamoo halafu ni mtu mzima kabisaa mfyuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko chini ya miguu yako. Ndiyo maana yake. Mtumwa akimwambia mmiliki wake.
Niko chini ya miguu yako. Ndiyo maana yake. Mtumwa akimwambia mmiliki wake.
Mimi hata uwe mzee namna gani, uwe umenizidi kila kitu mpaka sijui manini.
Huwezi isikia shkamoo yangu.
Niliacha kuitumia baada tu, ya kujua ilikua inatumiwa na kina nani
[emoji3][emoji3][emoji3]basi wajibadilishe sura na umri [emoji53][emoji53][emoji53]
Mtu kauliza maana yake. Nimemjibu kadri ya ufahamu wangu mdogo. Sijazungumzia kama itumike au la!Mnataka tusemaje??? goodmorning au??? Mbona mnakuwa watumwa wa lugha za watu... Sasa lugha yetu ya kiswahili shikamoo ndo salamu yetu kwenda kwa watu waliotuzidu umri kuonesha tunawaheshimu sasa unataka tusiitumie???
Sent using Jamii Forums mobile app