Samahani
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 237
- 355
Habari za majukumu wana jamvi...
Natamani mnipanue fikra kidogo juu ya hii heshima tuliyoizoea ya kusalimiana "SHKAMOO". Kwa jamii yetu Tanzania, matumizi ya salamu hii ni ishara mojawapo ya utii na heshma kwa aliyekuzidi umri. Lakini natamani kujua, MTU ANAPOFIKIA UMRI GANI ANAPASWA KUACHA KUITUMIA?? Nimejaribu kufutilia kwa sisi watu wazima, kuna wakati hatuitumii tena na badala yake tunatumia aina nyingine ya salamu za kujuliana hali... Naomba kuelewa, ni upi wakati sahihi wa kuacha kuwasalimia waliotuzidi "SHIKAMOO?"