Kipi kiguma kwako

Kipi kiguma kwako

Inategemea na position niliyopo ktk kuacha au kuachwa.
 
wa kike wote mnasema hivi kuna ukweli hapa au kamba hizi tunafungwa
Karibu kila mtu huwa anatamani yeye asiache, hatutaki zile lawama za "wewe ndo uliniacha", na tunahofia zile umembwaga mtu afu baada ya muda unarealize kuwa unamuhitaji. Ndo maana hata wanaume wengi akishamchoka mtu anaanza vitimbwi tu mdogo mdogo, kusema kuwa hakutaki hasemi ng'ooo, usipojiongeza itakucost.
 
mi kama mtu simtaki tena, napunguza mawasiliano tu mdogomdogo kama usemavyo
 
Umeona eeh, afu mlivyo wajanja baadaye mtu akiamua kukupotezea na yeye... hamkawii kugeuka na kuanza kutoa lawama. Nyie watu looh
 
Keep it up!

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Yote yanaumiza,ila kuachwa kunaumiza zaidi kwasababu anayeacha anajiandaa kisaikolojia wakati anayeachwa kwake ni suprise!
 
Umeona eeh, afu mlivyo wajanja baadaye mtu akiamua kukupotezea na yeye... hamkawii kugeuka na kuanza kutoa lawama. Nyie watu looh
tena unanung'unika kabisa, yaani dah! hasa ukipata mtu anayekuzingatia yaani raha sana, wanawake mnajua kupenda sie tukasome
 
Hahaha nyie viumbe, basi tu. Mie nipotezee afu siku Jifanye kunilaumu uone
 
dadaake unajua kuna hatua mtu anakufanya umpende to the maximum, yaani hayo unayoyasema hapa yote unayasahau, mapenzi haya, nilipataga mmoja huyo ilikuwa shida aisee, cm mara sita mchana tu acha ile ya usiku, tatizo ni kuuweka huo upendo kwa mwanamke otherwise awe amekuzimia mwenyewe
 
Weee mbona hata nyie mnapendaga sana tu. Leo unajiona kama hupendi vile, ila ipo siku utapenda hadi wewe mwenyewe utajihisi zwazwa
 
ivi kwa nini inakuaga ni ngumu kwenu kumkubari MTU anaetaka kurudi? usinitukane lakini limenikaba kooni ndo maana nimeuliza.
 
Weee mbona hata nyie mnapendaga sana tu. Leo unajiona kama hupendi vile, ila ipo siku utapenda hadi wewe mwenyewe utajihisi zwazwa
aisee mm bado sijampata mjanja wangu, ngoja niyatunze haya maneno kwa faida ya baadaye
 
Back
Top Bottom