Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,747
- 12,462
unajisikiaje ukimmwaga mtu?Niulize tu kakaake
unajisikiaje ukimmwaga mtu?Niulize tu kakaake
kimsingi huwa sipendagi kihivyo hii ni baada ya msichana wangu wa kwanza niliyempenda sana kuniacha kwa dharau kubwa, yaani sijui nilikuwaje nilikuwa nampenda hadi namuogopa, hata game nilikuwa najiuliza kumuomba kumbe ye anahitaji, baadaye akaja kuongea mbovu sana ndo nikajua kumbe inatakiwa iwe hiv, so huwa nachukulia mapenzi kama system tu ambayo lazima uipitie sichukulii kwa undani sijui huko baadaye labdaWe kiboko aisee [emoji119] sa sijui huwa huzami deep?
Mmh Sijawahi kummwaga mtu. Na huwa naomba pia nisifanye kosa la kufanya niachwe, mtu akinimwaga iwe ni kwa sababu zake binafsi au kwa sababu ambazo sina control nazo. Nafikiri Moyo wangu utakuwa na amani sana nikiachwa kuliko kumuacha mtu. Sitamanigi kumuumiza mtu yoyote yule, sema ndo hivyo ubinadamu tenaunajisikiaje ukimmwaga mtu?
Hahaha usijali hata, ipo siku utaacha tudah i wish the same ila ndo hivyo tena sie wengine tunaongozwa na mijicho yaani mwelu mwelu kama tochi
wa kike wote mnasema hivi kuna ukweli hapa au kamba hizi tunafungwaKuacha hili ni zoezi gumu kwangu... Bora uniache nitajipa moyo na kusonga mbele kuliko nikuache moyo ni utanisumbua mpaka nijikute narudi
Unajua Kila MTU anaogopa kuacha sababu roho itamsuta. Hata mimi bora uniache maana siwezi kuachaKuacha hili ni zoezi gumu kwangu... Bora uniache nitajipa moyo na kusonga mbele kuliko nikuache moyo ni utanisumbua mpaka nijikute narudi
Kila mtu na moyo wake....wa kike wote mnasema hivi kuna ukweli hapa au kamba hizi tunafungwa
Bora uniache,nitaumia siku2 nitapoa. Kuliko nikuache kesho nikuone na mwingine mko zenu fresh uuh nitaumia sana moyo utanisuta mimi ndio nilimuacha.Unajua Kila MTU anaogopa kuacha sababu roho itamsuta. Hata mimi bora uniache maana siwezi kuacha
Ngoja nikuulize kitu. Mfano MTU wako amekusaliti anakufanyia mambo ya ajabu. Huwezi kumuacha kisa unaogopa roho itakusuta au?Bora uniache,nitaumia siku2 nitapoa. Kuliko nikuache kesho nikuone na mwingine mko zenu fresh uuh nitaumia sana moyo utanisuta mimi ndio nilimuacha.
Ikifika hatua hiyo sina haja ya kuendelea kubaki. Kwasababu yeye ndio atakua amenitengenezea mazingira yakubwaga manyanga.Ngoja nikuulize kitu. Mfano MTU wako amekusaliti anakufanyia mambo ya ajabu. Huwezi kumuacha kisa unaogopa roho itakusuta au?
Hapo sawa. Maana mambo mengine hayavumiliki kabisaIkifika hatua hiyo sina haja ya kuendelea kubaki. Kwasababu yeye ndio atakua amenitengenezea mazingira yakubwaga manyanga.
Haswa kwenye uchumba,Hapo sawa. Maana mambo mengine hayavumiliki kabisa
Mapenzi ya siku bora uwe 50/50 tuHaswa kwenye uchumba,
Mmh!Mapenzi ya siku bora uwe 50/50 tu
Mbona unagunaMmh!
Kama sina hakika nawe bora nikae pembeni,Mbona unaguna
Acha uoga bhana [emoji12]Kama sina hakika nawe bora nikae pembeni,
Mambo ya 50-50 kuwekana roho juu juu huko[emoji85]