Nelly Mtengwa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 371
- 417
- Thread starter
- #21
Tazana hiyo video!utakua umeamua kubishana tu na sikutaka kuelewa, google au angalia post hiyo hapo juu yenye picha toka kwa Kodofan
Tazana hiyo video!utakua umeamua kubishana tu na sikutaka kuelewa, google au angalia post hiyo hapo juu yenye picha toka kwa Kodofan
Tazana hii video mkuu!!Rivas inatoka hapaa!
View attachment 434736
Ndege kuludi rivas ina tegemea feni zake zinavyo Fanya kazi hivyo inaweza kuludi nyuma kama imeundwa hivyo hasa za mapanga boiAisee ulishawahi kuona wapi ndege inarudi rivas?
Ha haaaaa..Sasa kama rivasi ipo mbona ndege haina side mirror? Au kuna utingo wa kuielekeza kwa nyuma?
watu kma nyie bora Magufuli awafungie kwenye simtank la majiSasa kama rivasi ipo mbona ndege haina side mirror? Au kuna utingo wa kuielekeza kwa nyuma?
Mbna F22 na F35 zina rivasi tena kwa manjonjo kibao.Rivasi ipo!! Ndo maana nimeamua kuomba msaada!!
Wewe ndio unatafutwa mtuhumiwa namba mojawatu kma nyie bora Magufuli awafungie kwenye simtank la maji
Umetaja panga boy......????!!!!!Ndege kuludi rivas ina tegemea feni zake zinavyo Fanya kazi hivyo inaweza kuludi nyuma kama imeundwa hivyo hasa za mapanga boi

Unanikumbusha movie ya Fast and FuriousNdio maana huruhusiwi kung'aza sharubu mbele na nyuma ya engine, maana hata mbele ukikatiza inaweza kukuvuta, na ukipita nyuma tutaenda kukuokota dampo.

Ndege za kiraia hazina riverse ila za kijeshi ndo zenye riverse mkuuRivasi ipo!! Ndo maana nimeamua kuomba msaada!!
Nimeweka hiyo video uone! Hiyo ni ndege ya kiraia na inarudi rivasi.Ndege za kiraia hazina riverse ila za kijeshi ndo zenye riverse mkuu
Ndege haina rivas?? Mmhh???rolls royce engine - YouTube
My kaka ingia kwenye link hapo utajua jinsi injini zinavyoifanya ndege kujongea mbele hadi kupaa
Injini huvuta upepo kutoka mbele na kuurudisha nyumba kwa kutumia feni zake
Ndio maana hamna ndege yenye rivas
Hiyo ni video ya watengenezaji wa engine za boeing na airbus kutoka England
Nadhani utajifunza mengi my kaka.
Mbona rivasi ni jambo la kawaida sana kwa ndege? Hebu ingia Youtube uone ndege zinavyorudi rivasi. Nipo chuga, njoo twende airport!Nafikiri hiyo ndege yako itakua maalum.
Naomba kesho twende eapoti tukamalize utata.
Ntashughulikia ruhusa za kuingia ndani na vinywaji tukiwa hapo.
Mbona rivasi ni jambo la kawaida sana kwa ndege? Hebu ingia Youtube uone ndege zinavyorudi rivasi. Nipo chuga, njoo twende airport!