Kipi huzungusha matairi ya ndege?

Kipi huzungusha matairi ya ndege?

Nelly Mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
371
Reaction score
417
Nimeshawahi kusoma maelezo mengi kuhusu kinachofanya ndege kuelea angani. Lakini nimekuwa nikijiuliza maswali yafuatayo:

-Kipi hufanya ndege kutembea chini wakati hakuna 'shaft' inayozungusha matairi?

-Kama ni force ile ile inayotumika angani ndio hutumika kuifanya ndege itembee ardhini, rivasi inatoka wapi?

Thanks.
maxresdefault.jpg
 
rolls royce engine - YouTube

My kaka ingia kwenye link hapo utajua jinsi injini zinavyoifanya ndege kujongea mbele hadi kupaa

Injini huvuta upepo kutoka mbele na kuurudisha nyumba kwa kutumia feni zake

Ndio maana hamna ndege yenye rivas

Hiyo ni video ya watengenezaji wa engine za boeing na airbus kutoka England

Nadhani utajifunza mengi my kaka.
 
Rivasi ipo!! Ndo maana nimeamua kuomba msaada!!
 
Nimeshawahi kusoma maelezo mengi kuhusu kinachofanya ndege kuelea angani. Lakini nimekuwa nikijiuliza maswali yafuatayo:

-Kipi hufanya ndege kutembea chini wakati hakuna 'shaft' inayozungusha matairi?

-Kama ni force ile ile inayotumika angani ndio hutumika kuifanya ndege itembee ardhini, rivasi inatoka wapi?

Thanks.View attachment 434608
Matairi ya ndege hayana Mechanism ya kujizungusha, yapo kama ya toroli tu, yanaisaidia ndege inapotua na inapotaka kupaa kwa sababau inatembea kwa kasi sana

Umeshawahi kuona ndege zinazotua kwenye maji? Je zina tairi?
 
Niliangalia kipindi flan kinaitwa MYTHBUSTERS kinaoneshwa discovery science jamaa walipima force ya upepo inayotoka kwany engine ya jet, huwezi amini ule upepo una peperusha gari na watu ndani yake
 
Kama huo upepo una uwezo wa kuisukuma ndege yenye tani kadhaa mbele kwa nini ushindwe kupeperusha gari???
 
Niliangalia kipindi flan kinaitwa MYTHBUSTERS kinaoneshwa discovery science jamaa walipima force ya upepo inayotoka kwany engine ya jet, huwezi amini ule upepo una peperusha gari na watu ndani yake
Ndio maana huruhusiwi kung'aza sharubu mbele na nyuma ya engine, maana hata mbele ukikatiza inaweza kukuvuta, na ukipita nyuma tutaenda kukuokota dampo.
 
Rivasi ipo!!

ndege hazina reverse gear.....kama ukifuatilia kwa makini, utagundua mara nyingi zinaporudi nyuma tayali kwenda njia ya kupaa, kuna vijigari viko flat huwa vinafungwa kwy taili la mbele la ndege...hivyo ndio uzisukuma nyuma na zikikaa sawa hivyo vigari vinafunguliwa then ndege inasepa kwa kwenda mbele.
 
Rivasi ipo ndugu!!
 
Back
Top Bottom