Kipi Chaanza, LOVE ama COMMITMENT???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipi Chaanza, LOVE ama COMMITMENT????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by super thinker, Apr 24, 2012.

 1. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Confused kidogo, kwenye mapenzi ni kipi kinaanza, LOVE then Commitment kwamba unampenda mtu then unaamua kujicommit kwake ama Commitment then Love will definately find its way through kwamba as long as unahisi unapendwa, unajicommit then kwa uamuzi huo unampenda as you go along???????
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Sijui unasemea mahusiano gani, ila ya ndoa za siku hizia... Inaanza committment. And if you are Lucky in the long run you Love one another.... Watu wanaangalia mtu ambae ana kazi na anajiweza... tabia yake kama ipo reliable kuweza kua mume/mke na baba/mama... kama wanaweza tengeneza maisha pamoja na kutegemea maendeleo (Ikipimwa kwa kazi ama shughuli za kila siku za wahusika). Kama jibu ni yes kwa yoote hayo then mna commit kua pamoja... then you Love.

  Hio ya love ukubwani imekua nadra... sasa hivi Love ipo kwa wale ambao wanakua na kujifunza mahusiano....
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  Must be love......at first sight
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  None of the above.
  OTIS
   
 5. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Love at first sight is an unsolvable puzzle........!!
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi ilikaa hivi...

  Kwanza nilimtamani, then baadaye nikampenda baadaye nikaji-comit sijui uzoefu wa wengine
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  I am fully COMMITTED to you sweetie, you are so gorgeous and cute my darling....

  A lot of people abuse the word LOVE so they can get someone to COMMIT, commitment is apart of LOVE but it's not just a word you use to describe commitment.
   
 8. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  OTIS, u r also confused kama mm, tuwangoje wajomba watushauri..........kip loading
   
 9. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mhh....the finest jibu lako gumu kuliko swali, much more confusion!!
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Ni wanaume wachache ambao huoa wale ambao wanawatamani Ipasavo! Wengi saana hu compromise. Anapo oa tamaa sio kigezo cha kwanza cha kua na huyo mwanamke. Kuna mengine anaangalia pia... Hii tabia hupelekea kwa wanaume ambao wanajirusha saana kuongoza kwa kua na galfriend wa kutoka nae usiku (ambae afaa kuonekana na genge la wanaume wenzie) na pia huyo huyo kua na galfriend alotulia nyumbani (yaani hana tabia ya kutoka usiku ama a clubbing type) akiwa na malengo ya kuoa hapo.

  Kwa upande wako ndio ile ya wale ambao wapo katika mahusiano.... then wanakuja kuoana baada ya kumsoma kua afaa kua better half daima. Hivo hapo lazima ulimtamani kwanza.. with time you grew to love her (kwa sababu mbali mbali) then una commit.
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Tuna safiri kwenye chombo kimoja mkuu.
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hili swali dah........
  Commitment kutafsiri maana yake ni kuwa responsible au kutake responsibility juu ya kitu ambacho kitachukua muda, energy yako in a form of an obligation
  Kimapenzi ni ile hali ya kuwa loyal, devoted au dedicated to a person or relationship.............. Sasa can you do that if you do not love that person?

  Yes and No.
  Yes- unawezakuwa responsible kwa mtu because of pity,
  - Unawezakuwa loyal, devoted na dedicated kwa mtu because of his/her wealthy or other beneficial factors

  No - Ni ngumu kuwa mkweli, loyal kwa mtu ambaye huna love kwake. Loyal inahusiana pia na kutokucheat kimoyomoyo
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmh
   
 14. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nafikiri love ndiyo huleta committment na siyo vice versa. Sioni sababu ya maana kujicommit kwa mtu ambaye sina love naye, it is simply wastage of resource and time!
   
 15. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Love kwanza then comitment inafuata,mimi siwezi kujicomitt kwa mtu ambaye sijampenda,how can that be possible?
   
 16. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  infact knachotakiwa kuanza ni love, kwanza unampenda mtu then unajcommit kwake, love comes first
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,382
  Trophy Points: 280
  hakuna love kama hakuna hakuna commitment.................kwa hiyo lazima uwe mtu wa kubeba jukumu la kupenda ndiyo uweze kupenda............kama siyo mtu wa kubeba majukumu ......how can you love anyone including yourself...............unless you a responsible person.......
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,382
  Trophy Points: 280
  commitment in a relationship can also be motivated by self-pity..when you are pitying someone actually you are just pitying yourself...............loyalty.....that comes after barrows and barrows of loving someone..........uzalendo haujii hivi hivi ...unless you care for that person.........material possessions...............have nothing with commitment but everything about raking care of your own insecurities.....................there is need to define love once and for all to get this subject in the right perspective.........
   
 19. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  If it flows like that its so lovely, if it flows otherwise, it may be lovely bt may take time or may never be........
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Ruta mimi nawewe twapishana padogo... Kuna tofauti ya kuelezea kitu jinsi inavotakiwa na vile ilivo katika jamii.... Mie nimeliongelea jinsi ilivo katika jamii tokana na Uelewa wangu na vile nionavo. Ukiniuliza the same question kua inatakiwa iwe vipi nitajibu "Love" kwanza... But itakua kujidanganya.... Wanaume wenyewe ndio mashahidi.. hamtongozi mwanamke sababu kampenda... (ni mara chache); Anamtongoza sababu kamtamani.... in the Long run atakuja mpenda.

  Na inapotokea mwanaume akamtongoza mwanamke sababu kampenda hua ni wale ambao wafahamiana... wamekua maybe hata marafiki huko nyuma wa kawaida... ama karibu wakasomana tabia, wakazoeana na only to realise there are some feelings there....
   
Loading...