Mapenzi ya kulazimishana yana madhara sana. Inanekana walivyoaanza jamaa alikuwa mgumu kuelekea mdogo akaamua amzalie kwa imani kwamba jamaa atajiweka, kumbe sivyo. Ila kupenda sana napo kubaya sana.
abadili line kwani namba ya huyo jamaa hajaishika kichwani.......?.......la muhimu aamue kuanzia sasa hamtaki huyo jamaa.......aendelee na maisha yake basi......
Amwache tu kwani huyo bwana hampendi,maana kama angekuwa anautambua umuhimu wake angekuwa anamjali ok? mwambie aswali sana mungu hatupi tunavyovitaka bali tunavyovistahili,wanaume wengi atampata wakumjali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.