Kipi bora-Kumchangia mgonjwa au Marehemu

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
455
Reaction score
1,729
Nipo nimekaa hapa nawaza

Kwenye haya maisha kipi bora kumchangia mgonjwa ambaye amelala kitandani akipigania maisha au kumchangia marehemu aliyelala kwenye jeneza safari ya kaburini kwenye nyumba ya milele

Hapa nina michango mingi ya rambirambi na kuna kila jumapili tunachanga kwa ajili ya matibabu ya watu mbalimbali kule kwenye page ya Godlisten Malisa.

Kipi bora hapo??
 
Mgonjwa inabidi ufumbe macho tu swala la pesa.
 
Nipo nimekaa hapa nawaza

Kwenye haya maisha kipi bora kumchangia mgonjwa ambaye amelala kitandani akipigania maisha au kumchangia marehemu aliyelala kwenye jeneza safari ya kaburini kwenye nyumba ya milele

Hapa nina michango mingi ya rambirambi na kuna kila jumapili tunachanga kwa ajili ya matibabu ya watu mbalimbali kule kwenye page ya Godlisten Malisa.

Kipi bora hapo??
mgonjwa
 
Marehemu. Ukimchangia mara moja tu basi. Mgonjwa utaambiwa tena umchangie na tena na tena. Bora kusubiri tu afe ndo umchangie.
 
Hizi akili umeonja nini mzee!!!

Upo sawasawa kweli upstairs?mimi nilikuwa mchangiaji mzuri sana wa harusi lakini toka mwaka juzi hata ndugu zangu niliwaambia nitachangia kwa ajili ya ndugu mgonjwa tu maana upande huo niliona hawauzingatii.
 
Yes. Nimeonja Nini.
 
Back
Top Bottom