Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,652
- 3,264
- Thread starter
- #41
Asante... kwa swali zuri... Unaweza kuketi sijaruhusu maswali tafadhali...Mtoa mada hajaacha faida kwa wajumbe tuliosinzia kidogo maana wengi wetu hatuelewi parallel na series connection concept yake ni ipi. Yaani unafanyafanyaje ili na sisi wajumbe tujiandae na hiyo El nino kwa Solar na battery yake