camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 459
- 893
shetani anaweza akaishambulia ikawa aileti moto kwaiyo aina ubaya wowote kutumia dua kumshinda shetaniDua... inatumikaje kwenye solar panel mkuu
shetani anaweza akaishambulia ikawa aileti moto kwaiyo aina ubaya wowote kutumia dua kumshinda shetaniDua... inatumikaje kwenye solar panel mkuu
Kijana yuko vizuri angekomaa kwenye uzi wake mmoja angetoboa alisanukiwa na watoaji!Eeh eeh hatari.
Na anajua kuomba mpaka kuna muda nilihisi labda amesomea kozi ya omba omba.
Hatari sana mzee wa niko kwenye kipindi kigumu sana.Kijana yuko vizuri angekomaa kwenye uzi wake mmoja angetoboa alisanukiwa na watoaji!
As if wengine tuko peponi, jua linamuwakia yeye peke yake!Hatari sana mzee wa niko kwenye kipindi kigumu sana.
Aah aah yani janja hajui life fucks both ways.As if wengine tuko peponi, jua linamuwakia yeye peke yake!
Si ndo hapo!! Alishawahi hata kufanya biashara unakaa siku nzima huuzi unatoa macho tu! Na ukija jf kujitoa stress unaitwa jobless 😆Aah aah yani janja hajui life fucks both ways.
Ye anakuja kupiga watu vizinga vya ujanja ujanja.
kwenye kindege (a.k.a AVIATOR) sasa hivi ungekuwa MilioneaTushavuka huko tuko 50s tunaitafuta laki😎
Nimenyosha kidole kwa mda mwenyekiti haunipi nafasi ya kuchangia, shida ni mimi,mada,wajumbe au ni wewe?Wakuu mada inahusu solar panel.... Mimi ndio chair man
Kuwa milionea kuhusiana na nini?kwenye kindege (a.k.a AVIATOR) sasa hivi ungekuwa Milionea
Mambo ya solar usiniulize mimiHivi mkuu ukichukua 18(AH) battery ya solar unaweza kucharge kwenye umeme?
Ya gariHivi ni battery gani ya solar iko vizuri mkuu
SijuiIna shingapi?
Mtoa mada hajaacha faida kwa wajumbe tuliosinzia kidogo maana wengi wetu hatuelewi parallel na series connection concept yake ni ipi. Yaani unafanyafanyaje ili na sisi wajumbe tujiandae na hiyo El nino kwa Solar na battery yakeKaribu... wajumbe walikuwa wanajadili nje ya mada, unaweza kuendelea.....