a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,333
- 3,814
Well sayAfya ndio nguzo ya kila kitu,
Sasa hivi wewe na Afya mnaitafuta hela ila baadae wewe na hela mtaitafuta afya.
Ndio shida yako hiyo..,😏😏 mpe kaisari yaliyo yake, yake, God already left Africa.
MONEY IS NOT EVERYTHINGPesa siyo kila kitu
Ova
Hilo nishaliona sana kwa watu wenye pesa
Hii kauli ipo sahihi kabisa ila ni ngumu kueleweka kwa mtu ambaye hana hela,Hilo nishaliona sana kwa watu wenye pesa
Mzee wangu ana kauli moja huniambiaga,uwe na maisha kiasi
Ova
Afya ndio kila kitu naunga mkono 💯Afya ndio nguzo ya kila kitu,
Sasa hivi wewe na Afya mnaitafuta hela ila baadae wewe na hela mtaitafuta afya.
Mnachanganya Afya mnaiweka katika kundi la furahaAfya ndio kila kitu naunga mkono 💯
Nilijua hilo Kuna siku nilikamatwa na maradhi nakaa ndani tu miguu ninayo , sikutamaninkabisa pesa wakati huo niliitamani nipate kaahueni nikacheze hata chandimu . Siku hiyo nilijua umuhimu wa afya kwani hata vyakula vilikuwa havipandi .
Afya kitu kingine kabisa hakuna furaha afya ikiwa mgogoro bora uwe kapuku wa kawaida kuliko kuwa afya mgogoro
Afya+uzima mambo mengine badayeAfya ndio kila kitu naunga mkono 💯
Nilijua hilo Kuna siku nilikamatwa na maradhi nakaa ndani tu miguu ninayo , sikutamaninkabisa pesa wakati huo niliitamani nipate kaahueni nikacheze hata chandimu . Siku hiyo nilijua umuhimu wa afya kwani hata vyakula vilikuwa havipandi .
Afya kitu kingine kabisa hakuna furaha afya ikiwa mgogoro bora uwe kapuku wa kawaida kuliko kuwa afya mgogoro
Kabisa,si ushawahi kuona mtu anapata pesa lakini pesa hizo hizo ndiyo zinamtesaHii kauli ipo sahihi kabisa ila ni ngumu kueleweka kwa mtu ambaye hana hela,
Wengi wao huamini akipata hela basi ndio maisha na hata kua na shida yeyote ile.
Hivi unaweza ukawa na furaha huku tumbo linasokota njaa na hauna chakula??Hivi kuna watu hawana furaha? Kwanini sasa mnakuwa hamna furaha
Ushawahi kufunga? Je ukiwa umefunga huna furaha?Hivi unaweza ukawa na furaha huku tumbo linasokota njaa na hauna chakula??
Kufunga ni kujinyima kwa hiyari, usifananishe na njaa ya kukosa chakula.Ushawahi kufunga? Je ukiwa umefunga huna furaha?
Yes ni hiari ila Ile njaa alionayo mtu aliefunga ni real kabisa yani tumbo linasokota hasa na bado ana furahaKufunga ni kujinyima kwa hiyari, usifananishe na njaa ya kukosa chakula.
Mkuu kufunga sio kukosa chakula,mtu aliyefunga ni tofauti na mtu mwenye njaa ambaye hana chakula,Yes ni hiari ila Ile njaa alionayo mtu aliefunga ni real kabisa yani tumbo linasokota hasa na bado ana furaha
Hata ukikosa chakula vile vile unaweza kuwa na furaha hasa ukiamua kutofanya blame shifting
Mwingine akikosa kidogo tu lawama ni kwa MUNGU, mwingineanalaumu ndugu na jamaa ukiwa mtu wa hivyo huwezi kuwa na furaha
Ukiamua kuwa responsible kwa kukosa chakula kwako huwezi kukosa furaha ndani yako utakosa furaha pale tu utakapo laumu wengine kwa ukosaji wako wa chakulaMkuu kufunga sio kukosa chakula,mtu aliyefunga ni tofauti na mtu mwenye njaa ambaye hana chakula,
Aliyefunga ana uhakika muda wa kufuturu ukifika atakula,so anakua na hope,ni tofauti na mwenye njaa ambaye hajui kula yake kama ataipata lini au saa ngapi,sometimes hope inaweza kukupa ahueni kuliko mtu asiyekua na hope.