Kipi afadhali katika ya hivi vitu viwili

Kipi afadhali katika ya hivi vitu viwili

Mfupawasokwe

Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
78
Reaction score
129
Kati ya kufumaniwa na mke wa mtu na kukutwa unafanya uchawi kipi kina afadhali.
Msala gani una afadhali kati ya hiyo misala miwili?😁
 
Maswali kama haya huwez kuta kwenye majukwaa hata ya kenya tu jirani zetu wanajadili kwenye mitandao yao sisi bado sn kuanzia raia mmoja mmoja mpk taifa kwa ujumla
Unasema wa kenya hawajadili upuuzi? Fanya tafiti vizuri mzee😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom