KERO Responded Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi, HESLB itoe elimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025.

Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote kuhusiana na namba hizo. Sasa suala linakuwa gumu kwa loan applicants ambao maombi yao yana deadline.

Huenda mamlaka husika za juu hazijawapa elimu Watendaji wao namna ya kushughulikia jambo hili, au ni uzembe wao tu wa kufuatilia Majukumu yao katika matumizi ya TEHAMA?

Hivyo, ni bora utatuzi ufanyike au bodi ya mikopo itumie mfumo wa zamani ambao hauna kero kwa waomba mkopo.

Bodi ya Mikopo (HESLB)

Majibu ya Bodi ~ Bodi ya Mikopo yafafanua kuhusu Wanafunzi wanaoomba Mikopo na kukwama kujaza taarifa za NaPA
 
1. Watendaji hawajapewa semina wala warsha kuhusu mfumo wa NaPA.
2. Changamoto kwa wazazi waliopanga hawana uwezo wa kupata namba hiyo isipokua mwenye nyumba
3. Anwani zingine zimeunganishwa na namba za simu za watu wasio wahusika
**Tunaomba HESLB wabadilishe mfumo huu, na watumie PostCode
 
Hii mikopo huwa ina masharti mengi sana
 
NaPA ni wazo jema kiteknolojia, lakini kutekelezwa bila maandalizi wala maelekezo kunawatesa waombaji mkopo, wajengeeni uwezo watu kuondoa urasimu
 
hii inasababishwa na Bodi ya mikopo wenyewe pale wanapozindua mwongozo kwa mwaka husika wanapswa kutoa elimu juu ya mabadiliko ya mfumo, pengine inaweza kuwa ina faida kwa ajili bodi hapo baadaye lakini elimu ya mfumo ni muhimu sana kwa waombaji ili kila mtu anufaike na matunda ya nchi yake.
 
Then mwisho wa siku uambiwe umekosa mkopo na mifumo yao ina shida kabambe
 
NaPA ni wazo jema kiteknolojia, lakini kutekelezwa bila maandalizi wala maelekezo kunawatesa waombaji mkopo, wajengeeni uwezo watu kuondoa urasimu
kirefu chake and how does it work
 
Mbona walianisha
hii inasababishwa na Bodi ya mikopo wenyewe pale wanapozindua mwongozo kwa mwaka husika wanapswa kutoa elimu juu ya mabadiliko ya mfumo, pengine inaweza kuwa ina faida kwa ajili bodi hapo baadaye lakini elimu ya mfumo ni muhimu sana kwa waombaji ili kila mtu anufaike na matunda ya nchi yake.
Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025.

Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote kuhusiana na namba hizo. Sasa suala linakuwa gumu kwa loan applicants ambao maombi yao yana deadline.

Huenda mamlaka husika za juu hazijawapa elimu Watendaji wao namna ya kushughulikia jambo hili, au ni uzembe wao tu wa kufuatilia Majukumu yao katika matumizi ya TEHAMA?

Hivyo, ni bora utatuzi ufanyike au bodi ya mikopo itumie mfumo wa zamani ambao hauna kero kwa waomba mkopo.

Bodi ya Mikopo (HESLB)

Majibu ya Bodi ~ Bodi ya Mikopo yafafanua kuhusu Wanafunzi wanaoomba Mikopo na kukwama kujaza taarifa za NaPA
Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025.

Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote kuhusiana na namba hizo. Sasa suala linakuwa gumu kwa loan applicants ambao maombi yao yana deadline.

Huenda mamlaka husika za juu hazijawapa elimu Watendaji wao namna ya kushughulikia jambo hili, au ni uzembe wao tu wa kufuatilia Majukumu yao katika matumizi ya TEHAMA?

Hivyo, ni bora utatuzi ufanyike au bodi ya mikopo itumie mfumo wa zamani ambao hauna kero kwa waomba mkopo.

Bodi ya Mikopo (HESLB)

Majibu ya Bodi ~ Bodi ya Mikopo yafafanua kuhusu Wanafunzi wanaoomba Mikopo na kukwama kujaza taarifa za NaPA
 
Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025.

Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote kuhusiana na namba hizo. Sasa suala linakuwa gumu kwa loan applicants ambao maombi yao yana deadline.

Huenda mamlaka husika za juu hazijawapa elimu Watendaji wao namna ya kushughulikia jambo hili, au ni uzembe wao tu wa kufuatilia Majukumu yao katika matumizi ya TEHAMA?

Hivyo, ni bora utatuzi ufanyike au bodi ya mikopo itumie mfumo wa zamani ambao hauna kero kwa waomba mkopo.

Bodi ya Mikopo (HESLB)

Majibu ya Bodi ~ Bodi ya Mikopo yafafanua kuhusu Wanafunzi wanaoomba Mikopo na kukwama kujaza taarifa za NaPA
Katika hili serikali ya ccm walikurupuka wakati watendaji wengine hawajui hata kushika mouse wala keybord ya computer baadhi ya watendaji wa mitaa, mtendaji unamwambia kuhusu NaPA naye anakushanga anakusahihisha umekosea labda unamaanisha TANAPA
 
1. Watendaji hawajapewa semina wala warsha kuhusu mfumo wa NaPA.
2. Changamoto kwa wazazi waliopanga hawana uwezo wa kupata namba hiyo isipokua mwenye nyumba
3. Anwani zingine zimeunganishwa na namba za simu za watu wasio wahusika
**Tunaomba HESLB wabadilishe mfumo huu, na watumie PostCode
Elimu wanayo shida ni kufungua mifumo na kuanza kazi
 
Back
Top Bottom