nachukia sana hii maneno
mjinga hawezi kujitambua, nafikiri anayemuona mwenzake mjinga ndio mjinga mwenyewe
Mjinga wewe na babako na mamako,mbwa koko wewe!Baada ya sheikh Ponda kuwashawishi wajinga wachache kugomea sensa kwa kigezo cha kutokuwapo kipengele cha dini katika madodoso ya sensa, sasa macho na masikio yanaelekezwa katika zoezi la vitambulisho vya taifa. Swali la kujiuliza; je, Ponda (kama kweli ni raia wa Tz na anastahili kupewa ID) na wengine wenye msimamo mkali wa dini ya kiisilamu, watagomea kupokea vitambulisho vya taifa hadi kipepengele cha dini kijumuishwe?
Kwa sababu wewe unakula nguruwe hutjali kama kuna waislaam wasio kula nguruwe. Sisi wengine ktk maandalizi ya chakula tunahesabu hata wale wasiokula nyama acha nguruwe na huwatayarishia mboga zao hatulazimishi mtu kula tunachokula..get the point!Poor minded always discuss people. Wingi wa dini fulani na uchache utakusaidia nini kwenye mlo wako wa kila siku? Au wingi ndo kwenda peponi? Na hizo takwimu kama zilitolewa zilitokana na sensa? Kwa nini na waisilamu wasitumie namna ya kuhesabiana. malumbano ya simba na yanga ni uendawazimu. na nasema huyo ponda ni kichaa kati ya vichaa wanomsapoti. anawapelaka kuzimu.
Poor minded always discuss people. Wingi wa dini fulani na uchache utakusaidia nini kwenye mlo wako wa kila siku? Au wingi ndo kwenda peponi? Na hizo takwimu kama zilitolewa zilitokana na sensa? Kwa nini na waisilamu wasitumie namna ya kuhesabiana. malumbano ya simba na yanga ni uendawazimu. na nasema huyo ponda ni kichaa kati ya vichaa wanomsapoti. anawapelaka kuzimu.
utakuwa unaumwa, sensa na vitambulisho wapi na wapi, mlijitangazia mko wengi cha ajabu mnapinga vikali kipengele hicho kwa sababu kingewaumbua sasa hivi mnaleta mada za kiabunuasi kuua soo. ninyi kweli mmeishiwa hamna lolote. tangazeni tena mko wengi kuliko wapagani ila kwa waislamu mmenoa.
Poor minded always discuss people. Wingi wa dini fulani na uchache utakusaidia nini kwenye mlo wako wa kila siku? Au wingi ndo kwenda peponi? Na hizo takwimu kama zilitolewa zilitokana na sensa? Kwa nini na waisilamu wasitumie namna ya kuhesabiana. malumbano ya simba na yanga ni uendawazimu. na nasema huyo ponda ni kichaa kati ya vichaa wanomsapoti. anawapelaka kuzimu.
Hata wakpata njia ya kujhesab wenyewe bado watatoa wrong statistics ili wathibitishe mafikirio yao
Huo wingi wenu wa kufikirika umewasaidia nn?utakuwa unaumwa, sensa na vitambulisho wapi na wapi, mlijitangazia mko wengi cha ajabu mnapinga vikali kipengele hicho kwa sababu kingewaumbua sasa hivi mnaleta mada za kiabunuasi kuua soo. ninyi kweli mmeishiwa hamna lolote. tangazeni tena mko wengi kuliko wapagani ila kwa waislamu mmenoa.
Mkuu OPAQUE sometimes inabidi uwe Transparent,uruhusu ubongo uruhusu idea nyingine ziingie! Ponda hakugomea sensa kwasababu amependa,hoja yake kuu ilikuwa ni kuondoa utata wa kitakwimu uliochapishwa na vyanzo mbalimbali kalingana na dini za watanzania.Sasa vitambulisho vya taifa vinahusikaje na ile hoja yake ya kwanza aliyoisimamia?
Mkuu OPAQUE sometimes inabidi uwe Transparent,uruhusu ubongo uruhusu idea nyingine ziingie! Ponda hakugomea sensa kwasababu amependa,hoja yake kuu ilikuwa ni kuondoa utata wa kitakwimu uliochapishwa na vyanzo mbalimbali kalingana na dini za watanzania.Sasa vitambulisho vya taifa vinahusikaje na ile hoja yake ya kwanza aliyoisimamia?
Mimi naamini watu wenye mawazo na fikra za kuona mbali na wakti wote kuondokana na ile tarbia ya kuhisi jambo bali wanataka reality kila wakti kama Ponda kama watapatikana arobaini tu basi wa Tanganyika mtavuka huo umasikini mlionao. Kumbukeni waTz sio masikini wa mali bali wengi wenu ni masikini wa Akili. Nia ya Ponda ni kuweka kipengele cha DINI katika dodosp lenu ili. 1. Kujua idadi ya waumini wa kila dini iliyopo Tanzania. 2. Kujua idadi ya dini walizonazo wananchi wa Tz. Kwani mambo hayo kila siku yanabandikwa kwenye vivutio vyenu vyote vya watalii na hata wawekezaji kuja nchini kwenu. Labda mjiulize katika dodoso lenu kuna hata idadi ya mifugo na suala la ilmu ilhali kuna wanataka kujua wanaojua kusoma na kuandika kimombo na kiswahili. Je mambo kama haya yana msingi gani ukilinganisha na kujua idadiya dini na waumini wake? Sensa ni zoezi la kitaifa, si la mtu binafsi au kundi flani la watu. Suala la kutuambia nia ya Shekh Ponda kwenye suala la sensa ni la kibinafsi zaidi. Hivi kujua idadi ya waumini na idadi ya dini zitatusaidia nini kwenye maendeleo ya Tanzania? Hivi katika vigezo vya kutafiti maendeleo ya nchi, kigezo cha dini huwa kipo? Tatizo la Shekh Ponda halikuanza leo, mnakumbuka ya mwembechai? Si alikuwa PONDA huyuhuyu? Tuwe makini, aletayo PONDA hayana tofauti na BOKOHARAM ya NIGERIA. Ilianza kama vuguvugu la utetezi wa waislamu, kumbe ajenda yao kuu ni ugaidi. Najua issue hapa si kuwepo kwa kipengere cha dini, tusiwe mazuzu jamaa. Shekh ponda na washilika wake wanaamini kuwa, ikifanyika sensa ya udini na wao kuonekana wengi, basi madai yao ya OIC, MAHAKAMA YA KADHI, SHRIA LAW yatafanikiwa. Kimsingi ni agenda za kibaguzi ndo zimewatala
basi weye ni mpumbavu