Kipengele cha 'DINI' ktk vitambulisho vya taifa

maskini waislamu,kwani mkiwa wengi mnataka mfanyeje,mlivyochoka hata kujihesabu hamuwezi hadi serikali iwasaidie,mnackiliza huyo ponda uwezo wake wa kufikiri ukoje,achaneni na mambo ya ajabu cyo lazima serikali iwahesabu,ndo matatizo ya kutumia akili ya uji na ubwabwa.Tangazeni mko asilimia 90 na hamna mkristu atawafuatilia,kuna tofauti kubwa sana kati Ponda na Paulo so acheni kulialia
Kwani nani aliwafuata kanisani kwenu na takwimu zenu za uongo.Kuanzia sasa Mkome kutangaza kwenye Tv ya taifa na ofisi ya waziri mkuu.Baada ya sensa tunakuja kwenye MOU na NECTA sio ID.
Huyu Ponda sasa tunataka tumpeleke bungeni atuwakilishe kupambana na ujinga wa Mbowe,unafiki wa Zitto na udini wa Musigwa.
 
upo too naive.necta tunajua mbeshaanza bebana sana, mara mkibanwa mankoroma.Shule zenu mejitahidi sana pitisha vimeo kibao ili kupromote dini.Nani hajui ajira nazo zimekuwa zikienda mweno huo.NI bahati tuu mmekwisha mitaani wenye vyeti hata vyenye score kidogo.kwanini msitumie kile chuo kilichopo chini ya transformer moro kupitishana bila break?
UDOM mmeshaonekana mkipenyeza vitabia vyenu
Sijui mlimwekaje Mkapa sawa akawapa chuo kilichopo eneo sensitive... msije anza jilipua na zile transforma.Naomba siku moja Ponda afanya show off akielekea bungeni kunagalia bunge ili akate machungu.Labda JKaanze mfunda halafu ampe viti maalumu.Au mtampromote mtoto wa sheikh yahya kwa kazi nzuri aliyowafanyia hao viongozi.

Hizi ndizo kufuru zinazonajisi nchi
 
Aisee, taaaabu kwelikweli.Unadhani unaongea vitu vya maaana! Wewe ni mmoja kati ya wazazi wanaozuia watoto kwenda shule kwamba watafundishewa ukristu, halafu mwisho wa siku unalalamika kwa nini nafasi nyingi za ajira zinachukuliwa na wakristu. Unapoponda kuwa na takwimu za elimu (kusoma na kuandika) eti ni bora kuwa na takwimu za dini nakulinganisha na wazazi wa aina hiyo. Nimekuesoma ulivyo! POLE.
 
Baada ya sheikh Ponda kuwashawishi wajinga wachache kugomea sensa kwa kigezo cha kutokuwapo kipengele cha dini katika madodoso ya sensa, sasa macho na masikio yanaelekezwa katika zoezi la vitambulisho vya taifa.

Swali la kujiuliza; je, Ponda (kama kweli ni raia wa Tz na anastahili kupewa ID) na wengine wenye msimamo mkali wa dini ya kiisilamu, watagomea kupokea vitambulisho vya taifa hadi kipepengele cha dini kijumuishwe?

Ponda Ndo nini hebu nielewesheni wakuu
 
Kabla sijakuita MJINGA kama ulivyotumia hapo juu, Naomba utueleze ubaya wa kipengele cha dini ndani ya sensa. Takwimu nyingi duniani zinazopatikana ktk mitandao inaonyesha population density, pamoja na mgawanyiko wa dini. Hizo data zinasaidia katika sekta ya Utalii, kama mtalii ningependa kujua mandhali ya seheme ninayoenda ili kuheshimu law of the land.
Mkuu naomba utupatie sababu za ubaya wa kipengele cha dini ndani ya sensa? otherwise wewe ni MJINGA
 
[/COLOR]kwa hiyo mimi nikija kwako napata kiti moto utanipatia? maana hesabu zako zenakwenda mbali zaidi ya kufikiria nafsi yako.
Bila shaka ikiwa mimi ni serikali, unachoshindwa kuelewa ni kwamba mnajifikiria nyie wenyewe hata kama nguruwe sio ibada ya mkiristu wala ibada ya Mpagan lakini imelazimishwa kuwa mezani kama menu yetu wote. Licha ya hivyo sii nguruwe zipo mabuchani mnazipata tena toka wakati wa Mwinyi?
 
ivi mi naona udini unazidi kuongezeka na watu sisi tunaona raha tuu kuleta chuki dhidi ya dini nyingine ila hatujui kuwa yanayofuata kuwa yanaweza kuleta madhara na madhara yake yatakuwa ni ya muda mrefu, kwa hiyo basi inabidi tuangalie maneno haya myasemayo nyie upande wa pili maana mnachofanya ni kuzidisha chuki na hasira..
 
sio hivyo tuu bali inasaidia pia kufanya watu wa dini wenyewe kusaidiana na kujijua muelekeo wao, wanabaki tuu kusema kwa hasira ila no point kabisa..
 
Ignorant bastard, big headed, Say whatever turns you on plastic girl ... u are opinion doesn't matter anyways !
Listen you pussy cat doll....... if it doesnt matter, why bother

Bastard wewe, babako, mamako, bibiyako, babu zako, mmeo, vizazi vyako, mali zako, mimea yako, choo chako, na kama una madeni nayo bastard, kama una ndoto nazo bastard na hata kama una mawazo yoyote yale yooote ni bastard

walaanatuk

وأنا لا اللعنة مثليون جنسيا، وسبق أن والدك
 
Kuna watu hapa wamepafanya kama kijiweni kutwa kucha wanatukoroga tu! wenzetu wamisri na watunisia walitumia forum kama hizi kujikomboa lakini sisi kila siku kukorogana tu hakuna aidia mpya yani basi vurugu tu hapa!

duh usisahau .huu mkorogano unao uona hapa jf .ni mpango rasmi wa ccm .na unasimamiwa na bashe na nape .umesahau agenda ya nape .kuanzinsha mahausiano na vyombo vya habari .hapa kuna watu na lipwa kabisa kwa kazi ya kutukoroga hapa jf .
 
Baada ya sheikh Ponda kuwashawishi wajinga wachache kugomea sensa kwa kigezo cha kutokuwapo kipengele cha dini katika madodoso ya sensa, sasa macho na masikio yanaelekezwa katika zoezi la vitambulisho vya taifa.

Swali la kujiuliza; je, Ponda (kama kweli ni raia wa Tz na anastahili kupewa ID) na wengine wenye msimamo mkali wa dini ya kiisilamu, watagomea kupokea vitambulisho vya taifa hadi kipepengele cha dini kijumuishwe?

Je unafahamu kuwa kwenye nchi iitwayo Saud Arabia, vitambulisho vya wa-Islam ni vya kijani na vya wasio wa-Islam ni vyekundu?
Unajua vitu vingine huanza kidogo-kidogo na huwezi jua mwisho wake utakuwa nini. Hata vitabu vya sheria havikutengemaa siku moja, sheria ziliongezwa kidogokidogo na mwishowe tukawa na vitabu vikubwa vya sheria zetu.
Wanasema kinga ni bora kuliko tiba.
 
Kabla sijakuita MJINGA kama ulivyotumia hapo juu, Naomba utueleze ubaya wa kipengele cha dini ndani ya sensa. Takwimu nyingi duniani zinazopatikana ktk mitandao inaonyesha population density, pamoja na mgawanyiko wa dini. Hizo data zinasaidia katika sekta ya Utalii, kama mtalii ningependa kujua mandhali ya seheme ninayoenda ili kuheshimu law of the land.
Mkuu naomba utupatie sababu za ubaya wa kipengele cha dini ndani ya sensa? otherwise wewe ni MJINGA

mimi naona haya madai ya ponda .yataleta matatizo yasio kwisha .kwanini ? Mfano mimi binafsi mke wangu anaitwa Fatuma nanii mkristo kwani sasa hivi ukibadili kuingia ukristo ni mapenzi yako kubadili jina ,sasa tukihesabiwa .ponda akakuta kwenye orodha jina la Fatuma lakini dini mkristo .siataanza madai mapya kwamba sensa imechakachuliwa ?
 
Kwenye vitambulisho vya taifa hakuna cha Uamusho wa genge la Ponda wanavikataa. Kama mnajifanya mnasimamo gomeni na kupewa vitambusho vya Nida. Na wale wote Wazanzibar wanaotaka kupumua ni muda muafaka sasa wa kugomea vitambulisho vya Tanzania kama mnaubavu. Mkigoma zoezi la vitambulisho likiisha mjiandae kuchagua nchi ya kwenda, mtakuwa mmesharenounce uraia wa Jamhuri Tukufu ya Muungano wa Tanzania bara na Tanzania Visiwani, sh...#$&...t *10

Unaonekana kuna kitu kimekukereketa.
 
Back
Top Bottom