Kipele kwenye midomo au kijipu chini ya mapaja...

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
Wadau hivi imewahi kukutokea labda ukapatwa kipele cha kwenye midomo au kijipu chini ya mapaja...?

kama wewe iliwahi kukutokea hali kama hiyo na una patina wako (mme, mke au mpenzi ..!!) je, ulimshirikisha katika kukitoBoa? na kama ulimshirikisha, unaweza kutuelezea utamu ama uchungu ulioupata, au patina wako aliogopa kukitoBoa...???
 
mambo ya mwanza haya aisee

MAMBO YA MWANZA YAMEFANYAJE TENA JAMANI...???
 
Vipi na wewe ulimshirikisha mpenzio kukitoboa? Na ulisikia utamu au uchungu gani! Tupatie experience yako kwanza maybe tunaweza pata go ahead of ure thread!
 
Wadau hivi imewahi kukutokea labda ukapatwa kipele cha kwenye midomo au kijipu chini ya mapaja...?

kama wewe iliwahi kukutokea hali kama hiyo na una patina wako (mme, mke au mpenzi ..!!) je, ulimshirikisha katika kukitoBoa? na kama ulimshirikisha, unaweza kutuelezea utamu ama uchungu ulioupata, au patina wako aliogopa kukitoBoa...???

nataman kuimba mabata madogo dogooo yanaogelea....lakin kwa mbaliiiii naogopa...
r u serious?asi uminywe uone inakuaje?sa utakuja kuuliza mpk vp wenzangu wakat wa kuha.r.isha..mnajiskiaje...
 
Wadau hivi imewahi kukutokea labda ukapatwa kipele cha kwenye midomo au kijipu chini ya mapaja...?

kama wewe iliwahi kukutokea hali kama hiyo na una patina wako (mme, mke au mpenzi ..!!) je, ulimshirikisha katika kukitoBoa? na kama ulimshirikisha, unaweza kutuelezea utamu ama uchungu ulioupata, au patina wako aliogopa kukitoBoa...???

Whats this got to do with doctors? Nadhani mada yako ipo ki mahusiano zaidi...
 
Si ujieleze kama una vijipu upate msaada, na huyo wa kushindwa kumweleza hawezi kuwa ni mume/mke sema hawara.
 
Back
Top Bottom