Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,619
- 10,528
Hapo kamuokoa Baba yake sababu hakuna sehemu kajishika.mke wake kashika mti
Mkuu nakubali. I sincerely appreciate your observation
Hapo kamuokoa Baba yake sababu hakuna sehemu kajishika.mke wake kashika mti
Kwa jinsi picha ilivyo baba chances za kupona ni ndogo na position aliyokaa jamaa ni hatari, mke ameshikilia tawi na yuko nusu nje.. Ukimuokoa mke umeokoa na mtoto... The idea of present and futureWhat if jamaa alimuokoa baba yake (mwanaume) Ili wasaidiane kuwaokoa waliobaki? Ukizingatia wote (mke na mtoto) walikuwa wamejishikiza!
Kwa jinsi picha ilivyo baba chances za kupona ni ndogo na position aliyokaa jamaa ni hatari, mke ameshikilia tawi na yuko nusu nje.. Ukimuokoa mke umeokoa na mtoto... The idea of present and futureWhat if jamaa alimuokoa baba yake (mwanaume) Ili wasaidiane kuwaokoa waliobaki? Ukizingatia wote (mke na mtoto) walikuwa wamejishikiza!
Vipi na huyo mtoto mtoto naye ikatokea siku DNA ikagoma kusoma, baada ya kumuokoa?Mwanangu ndio kila kitu.. Mke anaweza kuniacha na kwenda kuolewa kwingine na kuwa mke wa mwingine! Lakini mwanangu nitabaki kuwa babayake mpaka mwisho wa dahari
Point🙏Kuna watu wanashindwa kusonga mbele kwakuwa fikra zao zote ni kuhusu yaliyopita, waliyoyafanya jana na juzi.. Hawana jipya la leo wala kesho
Ndio hao wanaoishia kusema
Usimuone anaringa tulimpokea mjini sisi
Huyo yuko hivi sasa hivi lakini darasani alikuwa mweupe kabisa..nknk
Siku akikusaliti utajuta kumwokoa ukamwacha mwanao Dam yako halisiMwokoe mkeo atakuzalia wakati ujao (future)
Siku akikusaliti utajuta kumwokoa ukamwacha mwanao Dam yako halisi
Yesterday is gone i have nothing to do with itWrite your reply...Kuna Yale ambayo utajifunza kutoka kwenye past na present yako ili uweze kuijenga future iliyo nzuri.
Kwa hiyo Past, Present na Future vina muunganiko ambao Ni muhimu Sana Kwenye maisha ya mtu.
So in the photograph's case, I will save my present because it will determine my future.They always say whatever you do today will determine your tomorrow ( future).
Kimsingi mke ni mwili wako mwenyewe, kwa nadharia hii iliyopo hapa ni kwamba hakuna nafasi ya kuwa na mke mwingine kama ili kwa baba. Nadhani ni vyema kuokoa mtoto na mke kuliko baba. Tena ikiwa hakuna nafasi ya kuokoa watu wawili ni vyema zaidi sana kuokoa mke, maana atakuzalia mtoto mwingine.Ningemuokoa Mtoto mdogo kwanza Kisha baba. Mke naweza mpata mwingine
Its a philosophical photo type .. Don't give it a direct translationHio maana uliyotupa ni according to you, sio reality.
According to me jamaa kaamua kuanza na mzee kwasabab mama kajishkiza kwenye mti. Pia atakapomuokoa baba, baba atamsaidia kuwaokoa hawo wengine..
Mzee Mshana Jr, kwa jibu lako hili unamaanisha kumbe upo uchaguzi wa ziada. Vipi kama hao ndiyo watu pekee waliobakia katika vizazi vya wanadamu katika ulimwengu wao?Mwanangu ndio kila kitu.. Mke anaweza kuniacha na kwenda kuolewa kwingine na kuwa mke wa mwingine! Lakini mwanangu nitabaki kuwa babayake mpaka mwisho wa dahari
Kama huyu?Haya maisha ukiishi kwa malengo sana lazima upate stress... wakati mwingine tujiachie tu