Kwamba Mamlaka zimekuwa nyingi sana
Sasa anavuka mipaka ya utabiri😂😂🤣
HahahaaaaSasa anavuka mipaka ya utabiri😂😂🤣
Tuzo na Shahada za heshma kama zote
Duuuuuh kwanini huyu mama wote wanamtabiria mabaya tuuu.... amewakosea nini lakini jamani??????? Inakera sasa..
Kodi zimezidi kuwa utitiri, leseni nyingi hadi nafasi ya kuweka picha ya Rais hakuna.
Vibali na maleseni kibao kwenye biashara hadi picha ya bibi imekosa nafasi......🤣🤣🤣🤣🤣
sa100 apumzike kwa amani
WW ni kula kulala Kwa shemeji ndio maana hauoni utitiri wa tozo!Duuuuuh kwanini huyu mama wote wanamtabiria mabaya tuuu.... amewakosea nini lakini jamani??????? Inakera sasa..
Aseee.....WW ni kula kulala Kwa shemeji ndio maana hauoni utitiri wa tozo!
Sifa za vyeti ni vingi kuliko uwezo wake.
Kuna "Mtu" na "Ntu"....