Kipanya na Uchaguzi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,955
95,278
Leo tena amekuja na picha ambayo kimsingi kwa asiye mtaalam wa habari picha itamuwia ngumu kuielewa.

Tafadhali wenye uelewa wa haya mambo mtusaidie sisi kina macho kumchuzi.
Screenshot_20200214-171041.jpeg


In God we Trust
 
Ahahaha dah, eti "mmesahau mlichotufanyia kwenye serikali za mitaa". . Daah Masoud hataki mchezo
 
Ahahaha dah, eti "mmesahau mlichotufanyia kwenye serikali za mitaa". . Daah Masoud hataki mchezo
Mkuu hapo tayari kesha fanya kazi yake kikamilifu kama mwana habari

In God we Trust
 
Wala hawana haja ya kuhamasisha, tutajiandukisha tu, ila kupiga kura ndio kitendawili tena kigumu kweli kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom