Unakumbuka uliahidiwa nini na kiongozi wako katika uchaguzi ulipita.

Ozone_

Member
Dec 30, 2023
88
107
Habari za mda wanajamii. Natumai mko sawa kwa wale wenye changamoto za hapa na pale nawapa pole pia nawakumbusha ndio sehemu ya maisha yetu sisi wanadamu.

Ikiwa ni miezi michache imebaki tuingie katika uchaguzi wa serikali ya mitaa na takribani mwaka mmoja kuelejea uchaguzi mkuu wa madiwani,wabunge na rais.

Katita uchaguzi uliopita kulikuwa na ahadi nyingi kutoka kwa wagombea waliochaguliwa na hata walioshindwa. Wewe kama mwananchi unakumbuka ahadi gani ulipewa na je katika ahadi hizo ni ipi imetekelezwa kwa asilimia mia na zipi hazijatekelezwa?.

Nb. Wale ndugu zangu wa kawe mnakaribishwa sana kama reference.
 
Ila watu wa kawe naona ndo walihaidiawa makubwa kuliko yote.

1.boti za uvuvi
2.Kununua greda la kuchongea barabara kwa akili ya wana kawe
3.Kupeleka watu Birmingham
4.Kupeleka watu Japan wakasomee Mambo ya uvuvi
5.Kufungua chuo Cha uvuvi.

Kama nimesahau ongeza hapo chini.

Gwajima kiboko sana
 
Barabara mpaka muda huu hakuna kitu kilichofanyika alijifanya kumwaga kifusi akasema atatia lami mvua zimenyesha kifusi chote kimeenda yamebakia mashimo tu, yaan yeye kakomaa na uwaziri wa kupewa tu huko mjengoni anamsahau tulichomtuma kule ndani ni nini Sisi huku barabara shida tupu madimbwi tu na alisema atatia lami kwa mbwembwe na mikogo ita gari jaza vifusi tumesubiri lami mpaka tumechoka barabara imerudi vile vile km ilivyokua zamani

Shame on you Mr politician
 
"Niliwaahidi bara bara hapa nabuy time mwakani mwezi wa sita nipeleke greda ikachonge road ntakua nimewakata vilimi walioanza kunichafua" kiongozi Moja areply hv
Yaan huyu asije kabisa hata akaleta Miguu yake hakuna atakaemwelewa na utetezi wake wa kijinga huu hata mtoto wa kindergarten hawezi akawa na utetezi wa ku-buy time

Unakuta kiongozi ni Professor kabisa alafu anajibu majibu ya mkato mkato huo uprofesa aliupataje? Sielewi
 
Uprofesa ni huko kwenye taaluma yake akiwa darasani anafundisha na kwenye makongamano huko. Huku kitaa anaweza kuwa mpuuzi tu kama wapuuzi wengine!
 
Yaan huyu asije kabisa hata akaleta Miguu yake hakuna atakaemwelewa na utetezi wake wa kijinga huu hata mtoto wa kindergarten hawezi akawa na utetezi wa ku-buy time

Unakuta kiongozi ni Professor kabisa alafu anajibu majibu ya mkato mkato huo uprofesa aliupataje? Sielewi
Umekaa sana nje ya Tz ndugu yangu..jaribu bas walau uwe unakuja kuja kuwaona watanzania at least kwa Mwaka mara Moja! Hv unawajua watanzania wewe? Watanzania we wadanganye tu hawana shida hamna nchi rahis kuongoza kama Tz tena atakaefanya hvo Ndo atachaguliwa haraka sana na mapema! Huku hakikisha huwasumbui mambo ya Simba na yanga, poshykwin na hamonaiz au daimond aweke Mkono Moja kwenye titi la zuchu na mwngn kwenye Tako moja
 
Kuna mambo mengi ya msingi kuzidi hayo akishuka kwenye Ndege huku anakuja kutembea kwenye barabara mbovu tu na sababu ni mbovu akishakula shavu anasahau huku alipokuja kuomba kuchaguliwa aliacha barabara mbovu mbovu mbovu mvua ikinyesha full kuruka vidimbwi gari zinatembea kwa tahadhari sana akishavuta posho anasahau huku ameacha barabara mbovu full mashimoshimo tu, professor huku ulipoomba kura kipindi kile ukaahidi barabara ile barabara bado ipo vile vile mashimoshimo tu njoo uione professor popote ulipo uje huku ujionee professor
 
Back
Top Bottom