Kipanya: Liwalo na Liwe

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Liwalo na Liwe.jpg

Liwalo na Liwe
 
pinda siku zote anaharibu hali ya hewa,sijawahi kumkubali kabisa huyu mzee,saizi yake ilitakiwa awe afisa mtendji kata si pm
 
Pindi si kiongozi Makini hata kidogo mara nyingi amekuwa mtu wa kutenda makosa. Hivyo namalizia kwa kusema hatoshi kuwa Waziri mkuu sema anatosha kwa Serikari hii dhaifu
 
".....Mr. prime minister, you tried to resolve the issue but u failed so why don't you resign?.."
Jamaa ilibaki kidogo alie tena.
 
Huyu Dingi ni Coward, mara nyingi huwa anajutia kauli zake, e.g Zanzibar sio nchi ilim-cost, Mgomo wa kwanza Madaktari wakamatwe, hii tena Liwalo na liwe, Pamoja na ufisadi wako, Nitakukumbuka daima Edward Ngoyai Lowassa. ungeweza kufanya maamuzi magumu kuliko vilaza hawa Jei Kei na Pinda
 
Katika pm wote waliotangulia hakuna anayepata wakati mgumu kama pinda
 
last rumour i heard is that the pm alikua anawajengea nyumba vimada kama hana akili nzuri....
ata kama nipo nje ya mada,LIWALO NA LIWE
 
hiyo picha! Pinda akikunjua mikono tu atampiga vibao huyo kipanya au tamvua hiyo T-shirt
 
".....Mr. prime minister, you tried to resolve the issue but u failed so why don't you resign?.."
Jamaa ilibaki kidogo alie tena.


Baadaye aliporecover...... "Honourable lisu, I respect you so much, please, please",.....
 
Ha ha ha! Imekuwa hivyo!Nadhani Mr Liwalo na Liwe anasema 'IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIEPUKE'
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom