KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

Nilivoelewa mimi ni kuwa
Bundi katua kwenye makaburi ambayo awali ilisemekana hayawezi kufukuliwa....lakini upepo unaonyesha haya makaburi ya zege yaweza fukuliwa wakati wowote manake bundi ameshatua hapo.


Je?? Makaburi ya zege yatafukuliwa ama bundi atafukuzwa aende zake time will tell.
 
Ukame..bado tunaisoma namba..hamna hata mzoga tai anufaike
 
tai mwnye njaa na aliyedhoofu anatamani kfukua mizoga iliyoko makaburini
 
tai mwnye njaa na aliyedhoofu anatamani kfukua mizoga iliyoko makaburini
Atakua anamaanisha kua sakata la hivi karibuni la madawa ya kulevya linaweza gusa hadi ''wateule'' waliopita
 
Nihisi ni ile ya kuzika juu ya makaburi mengine ndio anamaanisha kuwa tai anakuja kujiokotea mizoga ktk hayo makaburi. Ila kwann ni misalaba (makaburi ya wakristo? ) hapo sina jibu
 
Majibu yote ni sahihi endapo utatumia picha / cartoon hio kuelezea uhalisia wowote, (within logic)
 
Masoud kaniacha leo, kila nikijaribu kujipa majawabu nahisi nimekosea
 
Anangoja kufukuliwa makaburi ale mizoga.
Nimekukubali Bi. Faiza
Na atawala vichwa wote ngoja wamalize kutajana
Kwa kifupi sakata la unga linamfukulia madudu automaticaly ambayo huko nyuma alikuwa anakosa gia ya kuyaingilia na mengine nahisi alikuwa hata hayafahamu
 
Back
Top Bottom