KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

Kweli masoud ni great thinker


Tundu lissu huwa ananunua magazet karibu Sita kila siku
N
Mwananchi likiwapo nitampigia simu nimuulize
 
Wakati unaandika usiwe na haraka kuacha nafasi baada ya neno ni muhimu...

Sijatizamaprofile = Sijatizama profile

Nisameh = Nisamehe

si = sio

dadda = Dada

hiyohujabo = Hiyo hujambo

ara = Mara
Duh! Acha uchochezi mkuu!
 
tai anasubiri makaburi yafukuliwe apate chakula
 
Mvua inanyesha. Ndege yule kwa sababu flaniflani amekimbia kiota chake penye mti pale (very comforting place kama ofisi ya Daud) na anatamani sasa kaburi hata moja lifunguke akajifiche kule.
 
Wakati unaandika usiwe na haraka kuacha nafasi baada ya neno ni muhimu...

Sijatizamaprofile = Sijatizama profile

Nisameh = Nisamehe

si = sio

dadda = Dada

hiyohujabo = Hiyo hujambo

ara = Mara

Wow. I'm so grateful, FaizaFoxy effect at work.
 
Hapo panaonekana vitu vitatu makaburi ndege aina ya tai na ndege aina ya bindi tafsiri yangu = Ndege aina ya tai kazi yake ni kula mizoga na ndege aina ya bundi kwetu nyumbani tunaamini analeta mikosi, sasa basi inaonekana hali si nzuri kuhusu chakula hvyo ndege huyo tai mwenye asili ya kula mizoga anaonekana kujadiliana na ndege bundi ambae tunaamini analeta mikosi hakuna chakula sijui tuyafukue haya makaburi vipo humu vya kutusogeza sogeza... Teh teh teh kipanya bhana Genius sana
 
Back
Top Bottom