KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

Naona tunaumiza vichwa buree....Kwan Masoud sio member humu atupe ufafanuzi?!
 
Rest in peace

cjui ni tanzania au madawa ya kulevya

kimoja wapo hapo
 
Kiukweli huwa naelewa sana kazi yake but leo nimefail kuelewa nini alikuwa anamaanisha.....
View attachment 473646[/QUOTE,

Mkuu FARU JEURI , hapo pana tai, na tai chakula yake ni mizoga. Sasa ameenda makaburini apate mizoga ale. Tatizo mizoga yote imezikwa na kushindiliwa cement. Ngoma ni kwamba, je akifukua hayo makaburi atapata mzoga ulio salama? Na je , aanze na kaburi lipi? Kumbuka kazi ya kufukua makaburi ni ngumu...mengine yana nguvu za giza, mengine yamehamiwa na nyoka, na mengine hayafukuliki kirahisi bila kukudondosha na wewe ndani ya hilo kaburi.
Sasa za mbayuwayu changanya na zako.....chukua Wazee wa Kukurupuka pale Jengo kuu Jeupe, wanaojaribu kufukua makaburi ya zamani huko DSM. Je wataweza, na kama wataweza watabaki salama??? .....ndiyo fasihi ya Kipanya hapo juu
 
c95851034894c3b81fbc0e1f4f0ca94b.jpg


Ipe neno Picha hii unganisha na matukio yanayoendelea sasa hapa nchini
 
Ilo kama kanisa, nanaona kindege juu ya msalaba....
 
Sijaelewa vizuri.......au nikwamba akimaliza hapo alipo anarukia huko kwingine
 
Back
Top Bottom