miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,152
Sijatoa hata kimoja hapo
Icheki tena na tenaSijatoa hata kimoja hapo
Hata kindege hujakionaSijatoa hata kimoja hapo
Kama kwel vileHuyo ndege juu ya msalaba ni tai, anataka kufukua makaburi, maana kinachoendelea sasa hivi ni kufua makaburi( mambo waliyofanya watu siku za njuma leo yanaibuka) nk
Tai kusubiri mizogaAiseeee tusaidie wenye akili ndogo maana pia sijaelewa chochote
Hata mimi, bora tu niwe mkweli..Kiukweli mie sijaelewa hiyo katuni
Nihisi ni ile ya kuzika juu ya makaburi mengine ndio anamaanisha kuwa tai anakuja kujiokotea mizoga ktk hayo makaburi. Ila kwann ni misalaba (makaburi ya wakristo? ) hapo sina jibu
Kwanza kabisa huyu ndege sio Tai. Ni dumbusi, ndege mla mizoga, maiti.Kiukweli huwa naelewa sana kazi yake but leo nimefail kuelewa nini alikuwa anamaanisha...
View attachment 474188
Ni kweli point yakoNahisi ile kauli ya hatuta fukua makaburi inakwenda kwisha taratibu. Tunyooshe mzee kama tulipinda
Pia kama kuna michirizi sijui ya damu au kinyesi yupo hoi dhurfil hali.Ukungu Umetanda , Kazi ya Tai Kufukua Makuburi inaonekana kumuwia Ngumu , anaonekana kachoka na Mazingira si Rafiki kwake Tena kuendelea na Jukumu hilo.