Kipanya leo asema hivi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
1594621116199.png
 
CCM wanajenga barabara za juu (miunombinu/vitu) jangwani ambapo hakuna watu na hata barabara za chini hakuna.


Au

Mgombea mmoja ila kona nyiiiiingi

Ngumu sana kumsoma huyu Mwamba
Ni kweli ni ngumu kumsoma, mimi nimeona tumezunguuka ili kwenda kupiga kura ya ‘ndiyo’ Dodoma alafu tunazunguuka kufanya kampeni wakati mshindi anajulikana.
 
Kipanya anawasisitiza serikali ya ccm kuendelea na ujenzi wa barabara za juu ndio suluhisho la kuondoa foleni.
 
Yes. Unatoa watu mikoa yote kuwakusanya Dodoma kupiga kura ya ndio 100%. Huu ni ujima.
Ujinga wa hali ya juu.......kimsingi ni rushwa tu alikua anawapa wajumbe hakuna kingine.....
Muungano yy mgombea binafsi maana yake hakukua na sababu ya kuwapotezea watu muda....Zanzibar ni nchi wangeachiwa wazanzibari wachague mgombea wao hukohuko zenji mbwembwe za nn?
 
Hiyo picha inamaanisha kuwa ccm safari bado inaendelea hapo kwenye mzunguko ndio kipindi hiki cha kampeni baada ya hapo safari inaendelea tena. Upinzani inaonekana hawaja jipanga vilivyo kuizuia hiyo safari. Kazi kwenu upinzani
 
Ni kweli ni ngumu kumsoma, mimi nimeona tumezunguuka ili kwenda kupiga kura ya ‘ndiyo’ Dodoma alafu tunazunguuka kufanya kampeni wakati mshindi anajulikana.
Hizo barabara zimegusana, hivyo neither can go to the other side from each road!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom