Kipanya: kweli hiki ni chama kilichoduma!

kule Arusha wamefikia wapi ? hilo suali wanatakiwa walijibu, na baada ya Tarime wapi wajiandae na mauaji?
 
Bora wamechangamkia bila wao ingepita kimyakimya hii...afu atleast sa iv watu wakiuliwa na polis wanapata pa kukimbilia(chadema) tunashukuru 2mepata watetezi..
 
narudia tena na ntazidi kurudia ukiona kijana akishabikia ccm kwa sasa ni njaa na si kingne,like it or nt,najua mpo ila sure rika la sasa c la ku2ambia ccm itatutimizia ndoto ze2 za kimaisha,hata we kijana mwenye njaa ambae umekubali ku2saliti masikin weng ila nawe uwe juu unalitambua hli bt we hope one dy yes
 
mgema akisifiwa tembo, hutia maji. huyu kipanya anasema hivi? naona falsafa yake inapitiliza. hivi, sababu ya chadema kuchimba makaburi ni ipi? sababu ya Arusha ni ipi? kwa hiyo huyu kipanya anaangalia tu pale alipodondokea na wala si alipojikwaa? kwa katuni hii nasikitika kusema kipanya umechemsha. kwa mtazamo wako cdm wanajinufaisha? kwa hiyo wao ndio walioandaa chezo la mauaji ili wafanye walichofanya?

kwa nini hutaki kuangalia chanzo? madini yangewanufaisha wanyamongo ni lini mauaji yangetokea? ni nani chanzo cha hayo yote? kipanya tunakuheshimu ila unataka kupitiliza
 
Mkuu naona unataka kutukanwa! Shauri yako!

acha waje na matusi yao.....watatukana hadi watachoka lkn penye ukweli sitokaa kimya. Si uongo maana Chadema wanatumia majanga ili kupata sympathy toka kwa wananchi, hili halina uongo. Kama kuna mtu anaona huu si ukweli, basi aseme huo ukweli wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…