Kipanya kaua bendi leo

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
.............
kipanyaaa.jpg
 
Hv hawa wakimbiaji, hawajaweza bado kuipata siri ya wakenya? Inashangaza!
Mie nilitegemea vijana waende huko wakenya wakajiunge na wenzao wakati wa mazoezi wanaweza pata chochote
 
Haika utakuwa lazma mtumishi wa umma! Yaani wakale bata kenya kujifunza kukimbia? Manake umenikumbusha trip za wakubwa kwenda kujifunza wenzetu wanatreat vipi maji taka,lol
 
Hiana haja ya kutafuta mchawi hapa. Tatizo viongozi wetu hawako serious on issues..hawajipangi na hawana mwamko wa kazi, wanafanya kwa mazoea na warahisi kutafuta sababu badala ya suluhisho. Hii inasababisha hata wachezaji wenyewe nao wanakosa umakini na moyo wa kujituma wakiwa michezoni.
 
Kwa vile tumeshashindwa katika kila nyanja ya maendeleo, ndo maana Camroon alikuja na ushauri wa bure labda tutashinda katika hilo!
 
Kwa kushinda watadai mlima ni wao..........

Kilimanjaro-Marathon.jpg


Kuonyesha seriousness jamaa anaweka stop watch kabisa.....wabongo wanaanza vruuuuuuuu bila mpangilio
 
Hv hawa wakimbiaji, hawajaweza bado kuipata siri ya wakenya? Inashangaza!
Mie nilitegemea vijana waende huko wakenya wakajiunge na wenzao wakati wa mazoezi wanaweza pata chochote

Wazo zuri sana mkuu ila kinachotumaliza ni hawa wenzetu huwachukua majeshini na huishia kulinda mahabusu kama sio benki! Na akitaka kwenda kweney mazoezi ama akubali kugawa ur**a ama aahidi kumletea meja suti ndoa ataruhusiwa kutoka kwenye kambi ya jeshi!
 
Mkimbiaji mmoja alijitetea eti, wakenya walikuwa na haki ya kushinda kwa sababu walikuwa wengi.

yaani mawazo kama ya rais wao...mi sishangai hata kidogo maana hata rais wao kule Uswisi kaulizwa swali la uchumi kaanza kujibu mambo ya urefu wa barabara sijui wakati wa ukoloni mara sijui hand to mouth agriculture ..mi ndo mara ya kwanza nasikia kilimo cha hivi na kubobea kwangu kote kwenye mambo ya agronomia
 
Kwa kushinda watadai mlima ni wao..........

Kilimanjaro-Marathon.jpg


Kuonyesha seriousness jamaa anaweka stop watch kabisa.....wabongo wanaanza vruuuuuuuu bila mpangilio

ssa wakimbiaji wetu wamekesha kwenye bia ..hapo wengine wametoka gesti miguu haina stamina watashindaje mbio ndefu hivo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom