bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
CatoonistPoleni sana. Mimi nilifikiri hata kipanya nae ni mwandishi
CatoonistPoleni sana. Mimi nilifikiri hata kipanya nae ni mwandishi
Chkua likeCatoonist
....Alafu wananchi ndo alipokaa hapo
Angalia vizuri tena kwa umakiniHapo tusi liko wapi?
Nifafanulieni...[thamani ya karatasi ya chooni ni pale unapokuwa na sida yako baada ya kumaliza shida yako chooni, lkn baada ya kuitumia ikakusafisha unaitumbukiza humo humo na wala huwezi kuiweka mfukoni. na baada ya hapo utaisahau kimoja hadi ubanwe na haja tena. kwa hiyo wana siasa wanawatumia waandishi mfanowe.........!!!
Kulamba miguu ya wanasiasa ili wateuliwe
Ndivyo ilivyooo
ww @pasco unamfahamu vyema kweli!!??Hii inamhusu Pasco
ile karatasi=ndio waandishi wa habari, hahahahahaha
ww @pasco unamfahamu vyema kweli!!??
Fafanua vizuri. Iile karatasi lipo kwenye roller, ni toilet paper(waandishi wa habari), yaani karatasi la kuchambia. Ambalo wanasiana wanatumia kunyea.ile karatasi=ndio waandishi wa habari, hahahahahaha
DuhFafanua vizuri. Iile karatasi lipo kwenye roller, ni toilet paper(waandishi wa habari), yaani karatasi la kuchambia. Ambalo wanasiana wanatumia kunyea.
Waandishi wanatumika kwa wanasiasa kama karatasi ya chooniNifafanulieni...