La mujar
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,586
- 1,793
Kawatukana au ndio ukwelimmmmmh aisee matusii makubwaa katutukanaa ss waandish wa habar
Kawatukana au ndio ukwelimmmmmh aisee matusii makubwaa katutukanaa ss waandish wa habar
We umeelewaje kwanza.... Ili nijue pa kuanziaNifafanulieni...
Na yeye si mwandishi lakini!~!!Hajawatukana.amewaeleza ukweli.
Nyie ambao hamtumiki mmetusaidiaje wananchi.....hata mimi ningekataa sababu si wote wanatumika. kipanya mwenyewe anasahau hata yeye anatumika
KamtunukieKipanya kabakiza nini ili atunukiwe shahada ya uzamili ya heshima kwa kazi yake hii?
Mawazo finyuKipanya ndiye msomi wa kweli asiye nunulika
Mtunukie na ulichonacho yatoshaKipanya anastahili tuzo ya heshima
Sisi kupitia mitandao tunaelimishs watu na huku tulipo pia but nyie mna advantage ya kuwasiliana na watu wengi kupitia media badala ya kuelimisha watu mnaishia kusifia hata visivyo sifikaNyie ambao hamtumiki mmetusaidiaje wananchi.....
Weka mapana ya kwako mfikiri kwa tumboMawazo finyu