Sasa jiulize je ni kweli wanasiasa wanatumiwa na wanasiasa ili kutimiza matakwa yao?
Mkuu ,angalia hapo pekundu.
Hahaha kweliHii inamhusu Pasco
Mkuu hawa jamaa wamejisahau kwamba wanatakiwa kuweka mbele maslahi ya umma sio wanasiasa.Huu ni ukweli ambao ni mwiba kwa waandishi wa habari waliokiuka misingi na maadili ya taaluma zao kwa ajili ya vijisenti vya wanasiasa......
Wapo waandishi waliokuwa stadi kuwachafua au pengine kufichua maovu ya wanasiasa na ni waandishi hao hao waliochukua jukumu la kubeba kalamu zao mithili ya dodoki kuwasafisha hao hao wanasiasa....kwa maslahi yao huku wakiuacha umma ukiwa njia panda....
Kipanya kabakiza nini ili atunukiwe shahada ya uzamili ya heshima kwa kazi yake hii?
hata mimi ningekataa sababu si wote wanatumika. kipanya mwenyewe anasahau hata yeye anatumika
Poleni sana. Mimi nilifikiri hata kipanya nae ni mwandishimmmmmh aisee matusii makubwaa katutukanaa ss waandish wa habar
KUna mwandishi alishawahi kuwatukana jamaa na kuwaita day prostitutes (malaya ya mchana). Mara nyingi hawapo kwa ajili ya kuwajulisha watu ukweli, huwajulisha watu kile mambwana zao wanachotaka watu wajue, na sio vinginevyo. Ukienda kinyume, you are fired
kocha wa inter milan kipindi hicho, Jose Mourinho, aliwaambia waandishi wa habari wanafanya 'intellectual prostitution' kutokana na kufanya kazi zao kishabiki shabiki sanaKUna mwandishi alishawahi kuwatukana jamaa na kuwaita day prostitutes (malaya ya mchana). Mara nyingi hawapo kwa ajili ya kuwajulisha watu ukweli, huwajulisha watu kile mambwana zao wanachotaka watu wajue, na sio vinginevyo. Ukienda kinyume, you are fired
Duu aitwe Sir KipanyaKipanya kabakiza nini ili atunukiwe shahada ya uzamili ya heshima kwa kazi yake hii?