Kipanya auliza swali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipanya auliza swali

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, May 2, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,413
  Likes Received: 11,253
  Trophy Points: 280
  kuna jibu?
  kipanya_18_-_03_-_2012_20120320_1357217378.jpg
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  subiri utapata ukweli!!!!:love:
   
 3. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 1,435
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hili swali ni tata kidogo, sijui anamaanisha siasa au afya?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hicho kibonzo hakipo clear sana kwangu pia!..Labda angeuliza unapambana na NANI...ningeelewa!
   
 5. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,736
  Likes Received: 5,112
  Trophy Points: 280
  Hapambani na chochote.Anatapatapa tu huyo.Hatafika mbali...
   
 6. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,618
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mkuu PakaJimmy kibonzo hicho labda alitegemea jibu liwe...."na ufisadi". hivi hiyo aliyoshika sio kitabu kitakatifu kweli....nacho kinaweza kuwa kina uhusiano wowote na swali?:tape:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,083
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kipanya aise yaani huwa anachokoza mjadala na anauacha
  Sasa nyie mpambane nao mjue na mtafakari
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hapo naona muulizwa swali badala ya kufikiria cha kumjibu muuliza swali, anajiuliza huyu bwana mdogo huwa ananifuatafuata muda mrefu sana sijui nimtie kichwa leo..??
   
 9. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 498
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kipanya ni msanii anayo fasihi ambayo sio kila mtu atafanikiwa kwenda sambamba naye, ndugu hukuelewa amina siku imepita.
   
 10. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  anapambana na shetani,c mnaona kila siku anachangia ujenzi wa makanisa...
   
Loading...