George Tesha1
Senior Member
- Dec 29, 2011
- 116
- 64
😀😀😀😀😛😀 nimecheka sana leoNilivyoelewa:
Mtumbwi (Muhogo) - Tanzania
Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina.
Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
Mkuu inaelekea we ni muoga kweli maana umejitetea mapema kama huna mkojo utatoka tu siku ikiwadia umenichekesha sanaNilivyoelewa:
Mtumbwi (Muhogo) - Tanzania
Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina.
Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
Amentumsifu Yesu KRISTO
afu dereva ana kazi ya kuangalia mbele tu!duuh panya wanatafuna mtumbwi ambamo wamepanda
Dereva na wasaidizi wake wote ni PanyabukuKwahiyo nanii ni panya buku?
Mkuu mm simoNahodha anazamisha chombo makusudi katikati ya bahari, ukimwambia unachofanya sote tutazama anataka kukupima mkojo unabaki tu kushangaa ndiyo hapo hao panya wawili wanamshangaa mwenzo.
Halafu hata kiongozi wa mtumbwi naye amejitafunia kidogo sehemu ya mtumbwi huku akiendelea kuongoza!Nilivyoelewa:
Mtumbwi (Muhogo) - Tanzania
Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina.
Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
Nahodha anaongoza kwa darubini kali na hatafuni chochoteNilivyoelewa:
Mtumbwi (Muhogo) - Tanzania
Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina.
Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
Hii falsafaJKN alisema Kiongozi asiyefuaa Sheria na Katiba aliyoapa kuilinda hatufai hata kidogo yatupasa kumwambia akishindwa arudi kwao akachunge ng'ombe...................
Mzee yuko na darubini kali, yeye anapaona tunakokwenda sisi abiria, lakini tulioko huku nyuma sasa tumeamua kutokubali kwenda bora kila mtu aile nchi kwa namna anavowezaKwahiyo nani anayekula mtumbwi siyo km mzee wa hasara jpm? Maamuzi ya ovyo ndiyo yatasababisha nchi hii kuangamia.
Lissu ni sawa na mtu anayekuambia, ww ni mchafu unakunya ndani. Ukimfunga Lissu haiwezi kusaidia kuoondoa uchafu sbb hana idhini ya kuingia kweny nyumba yako. Magu alistahili kutoa uchafu, na kusafisha nyumba.
Hili taifa jpm na kikundi chao cha wez ccm wanaongoza kwa kurudisha maisha ya watu nyuma
Mmh. We umeangalia katuni ipi??Nahodha anazamisha chombo makusudi katikati ya bahari, ukimwambia unachofanya sote tutazama anataka kukupima mkojo unabaki tu kushangaa ndiyo hapo hao panya wawili wanamshangaa mwenzo.