Kipanya anamaanisha watu gani hapa wanaotumia nguvu bila akili?

Wameona njia mbadala ya kuumaliza upinzani bora wauzamishe bahari ili uishe kabisa ndio maana wanatumia nguvu bila akili.

Endapo wakitumia akili, ni rahisi kuudhoofisha upinzani.
Samaki unamzamishaje baharini !?
 
Samaki ametoka baharini anatakiwa kurudi baharini ila huyo mtu mwenye kijani ni bwege hajui mbinu... hatakiwi kumrudisha kiurefu bali kiupande upande maana samaki mwenyew atabiringika hadi baharini... Samaki ni Tanzania, mwenye kijani CCM hao wa pemben ni upinzani yaan wenye akili kama mimi
 
Bado !
 
28e9e2a5ccc046c8d342b80206646951.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bado sijapata mantiki yake ! Samaki anakataaje kuingia baharini mpaka asukumwe, wakati maisha yake ni bahari ?!....wakati huo huo hekima inatumikaje pale ?
Samaki kwake ni kwenye maji inavyooneka ni kama ifuatavyo.

Samaki ni Tz
Anamsukuma ni msukuma
Huyo msukuma samaki ndo alimtoa samaki nchi kavu kwa kukurupuka na kukosa hekima
Sasa baada ya mambo kwenda kombo
Ndo analazimika kutumia nguvu kumrudisha kwenye maji
Kinachoonekana hapo tayari samaki (TZ) ameshakua mzito kurudi mahala pake bila busara hekima na akili

Msukuma,,,,samaki anaelekea kushindwa
 
Alimtoa samaki ili iweje !? ....kwani yeye alikuwa hajui samaki anaishi kwenye maji ? Na kwanini iwe shida/asumbue kumrudisha baharini, wakati maisha yake yako huko ? Bado hakuna logic kwenye maelezo yako
 
Samaki ni kama mfano mkuu
Lkn uhalisia wa samaki ni uchumi na baadhi ya mambo mbalimbali yanayohusu mtz kimaendeleo ulinzi na usalama,
Kitendo cha yeye kufanya maamuzi ambayo mengi yameathiri uchumi wa tz ni sawa na kumtoa samaki kwenye maji,,,

Kiuhalisia utakua umeelewa
 
Naelewa samaki ni mfano na ndio maana nikasema bado logic hakuna. Huwezi kumtoa samaki baharini halafu uangaike kumrudisha. Ulimtoa kwa sababu gani na una mrudisha kwa sababu gani !? Pengine tafsiri si ya kisiasa wala kiuchumi. Hii haihitaji kulazimisha bali kujenga hoja ya kimantiki inayotoa tafsiri halisi ya picha.
 
Sawa mkuu lkn kilichonifanya niamini hivyo ni kwamba
Samaki ameandikwa Tz
Anaemsukuma amevaa T-shirt yakijani
Waliokua pembeni wanasema
Atupishe sisi tutumie akili
Kwaio mchoro huo upo kisiasa
Sjajua wewe umeelewaje mkuu
 
Back
Top Bottom