Kipanya anamaanisha nini hapa

Kipanya anamaanisha nini hapa

Inasikitisha sana kama ni kweli.
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
IMG_20210314_165805.jpeg
 
Tumebaki na gamba tu.Mwili wake(flesh) haupo kwenye gamba,tena mwili wake kama umetoweka muda kidogo mana gamba limejikunja kwa chini(kukauka),kobe kama wa rangi ya ki*jan* hivi...hivyo kobe hatunae tena,tumebaki na gamba tu.

Kipanya ameanza kufanya kazi kwenye zoo? maana haya ya kobe wa kijani ni mageni kidogo.
Hizi kuna kobe wa kijani??[emoji2371][emoji2371][emoji848][emoji848]
 
Inamaanisha jamaa yuko ndani anawachora tu yaani!
Mmmh?? Anapenda surprise huyu mwamba? Yaan hapo hakuna beberu (predator) anayeweza kumdhuru[emoji1320][emoji1320][emoji1320]
 
Ntajaribu kuwafumbua macho ila sio lazima mniamini!

Hii saga ya hali ya mh Rais wengi mnaitazama kwa namna walioitengeneza wanataka muitazame!

Iko hiv. Rais yuko sawa na anaendelea na shughuli zake kama kawaida!

Kinachoendela ni mpango wa ile topic ya "kuwa rais wa milele"

Strategy ni kufanya ya fuatayo

[emoji117]Kutengeneza mazingira aonekane yeye ni muhimu na bila yeye tanzania haitaweza kuendelea, hii ni kwa watanzania na nchi za nje

[emoji117]Lazima awe maarufu na kutokana na anayo ya fanya basi maadui dhidi yake nataifa kwa ujumla niwengi

[emoji117]lazima kuzima taarifa zinazo chafua uongozi wake kama saga la mahindi lililokuwa hapo nyuma

[emoji117]Lazima aonekane ni strong na akili nyingi na hakuna kitu kina mshinda

Sasa nini kinachoendelea!

[emoji117]Dhibiti vyombo vya habari, watoe taarifa positive tu kuhusu wewe na serikali yako na viongozi wako kusifia jina lako tu

[emoji117]Tengenza makundi mawili yakumfanya awe maarufu, kundi la kusifu na lile la kupondea,

[emoji117]Potea machoni kwa watu, na kupitia yale makundi uliotengeza penyeza taarifa kuhusu kupotea kwako yaanzishe mjadala kuhus wewe, ikiwezekna isemekane umekufa, then jitokeze waumbue uonekane ni strong na umaarufu wako utazidi kuwa mkubwa ndani na nje ya nchi!

[emoji117]Ikifika miaka minne ya utawala wa awamu yako ya pili , bunge litumie makundi ulotengeneza kama rejea ya kuhalalisha kuongezewa miaka mingine, watanzania watakuwa wanakuimba jina lako, hakutakuwa na kikwazo unakuwa rais wa milele!!
 
Back
Top Bottom