Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,816 Reaction score 10,351 Sep 2, 2026 #21 Kuna saa na muda unaweza hojiwa swali ili hali jibu unalo unaamua chapia jambo jingine kwanza ... kutoa muda wa kutafakari ama kutokujibu hoja
Kuna saa na muda unaweza hojiwa swali ili hali jibu unalo unaamua chapia jambo jingine kwanza ... kutoa muda wa kutafakari ama kutokujibu hoja
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 1,901 Reaction score 4,898 Sep 2, 2026 #22 Kwani mavunde nae kafanyaje uko mjini?