Eeeeeeh!Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Ngoja nikupotezee naona una ugonjwa wa akili.Samahani sikujua kama wewe lesbian
Yule msanii nguli leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia.
Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu.
Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780
Aliyekuambia Jiwe alikuwa anashaurika nani, unajitoa ufahamu mapema kiasi hichi, acha kujifanya unajisahulisha kuhusu Jiwe( One man show)Mama anaonekana kama kaanza kazi siku ya kuapishwa lakinj huyu mama yupo na JPM miaka 6 akiwa msaidizi wake number 1 kama ni uchafu ameshiriki kwa 100%kuchafua sema anachofanya ni kuwaadaa watanzania na kuweka watu wake kwa mgongo wa kusafisha haya mmewekewa kada wa CCM TPDC ambae hajawahi kufanya sehemu yeyote zaidi ya CCM yajayo yanafurahisha .
Acha utoto na kusikia habari za mitandaoni ww nani asiyeshaurika ? hizi ni propaganda tu , nani anaweza toa ushahidi kuwa JPM alikuwa hashauriki? Watanzania kila mwenye smart phone na bando lake la chuo anajifanya mchambuzi wa kisiasa na kiuchumi hiili ndo tatizo lenu haya mama yako ameshaanza kutengua mtu aliyemchagua yeye chini ya masaa 24 kweli JPM alikuwa na haki ya kukataa kushauriwa na mtu anayeweza kuteua kada wa UVCCM ambae hajawahi kufanya kazi sehemu yeyote zaidi ya Lumumba kuwa DG wa TPDC hahahaAliyekuambia Jiwe alikuwa anashaurika nani, unajitoa ufahamu mapema kiasi hichi, acha kujifanya unajisahulisha kuhusu Jiwe( One man show)
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hakuwa anashaurikaAcha utoto na kusikia habari za mitandaoni ww nani asiyeshaurika ? hizi ni propaganda tu , nani anaweza toa ushahidi kuwa JPM alikuwa hashauriki? Watanzania kila mwenye smart phone na bando lake la chuo anajifanya mchambuzi wa kisiasa na kiuchumi hiili ndo tatizo lenu haya mama yako ameshaanza kutengua mtu aliyemchagua yeye chini ya masaa 24 kweli JPM alikuwa na haki ya kukataa kushauriwa na mtu anayeweza kuteua kada wa UVCCM ambae hajawahi kufanya kazi sehemu yeyote zaidi ya Lumumba kuwa DG wa TPDC hahaha