Kipanya aibuka na Mama Samia

Kipanya aibuka na Mama Samia

Huyu rais wa chadema anafanya vizuri sana..

Zama za JK aliitwa rais dhaifu huku waliomuita dhaifu wakitapanya mali za umma

JPM amefanya kazi kubwa sana kuundoa ule udhaifu, kujenga miundombinu na mifumo ya serkali, kutengeneza rasilimali watu akiwemo Rais wetu SSH pamoja na kuheshimisha serikali, chama CCM na nchi

SSH amewakamata wanachadema sasa wanahaha kurudi kundini

CCM iko imara imara sana..... haifi leo wala kesho
 
Huku chini ya kapeti kuna mazito, mwendazake alituaminisha mambo ni sawia kumbe mambo yalikuwa yanaenda mrama; mathalani bilioni 60 hasara kwenye zile panga boi,ukuaji mkubwa wa deni la taifa tukidanganywa matumizi yetu yote ni fedha zetu za ndani. Na hapo ndio kwanza kapeti ameliinua tu kidogo! Hadi huu mwaka unaisha tutajua mengi
 
Wee jamaa fala sana, yaanibunaamini mama ni chadema na anafanya haya kama mchadema..fala sana wewe
Matusi ndiyo sera yenu nyinyi MATAGA wa koromitje.
Mama anafagia takataka zoote kama nyinyi.
 
Zama za JK aliitwa rais dhaifu huku waliomuita dhaifu wakitapanya mali za umma

JPM amefanya kazi kubwa sana kuundoa ule udhaifu, kujenga miundombinu na mifumo ya serkali, kutengeneza rasilimali watu akiwemo Rais wetu SSH pamoja na kuheshimisha serikali, chama CCM na nchi

SSH amewakamata wanachadema sasa wanahaha kurudi kundini

CCM iko imara imara sana..... haifi leo wala kesho
Corona inaua sana
 
Mama alikuwa anasafisha chumba cha marehemu baba, cha kushangaza amekutana na mabaki ya mifupa ya samaki na mapocho mengine.

Inaonyesha baba alikuwa anakula vinono kimya kimya huku familia ikipiga mihayo.

Dah! Marehemu baba alikuwa kama mzee Tola wa kwenye kitabu cha darasa la pili miaka ilee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba jiwe alikuwa na takataka nyingi chini ya kapeti.
Kapeti lilikuwa linasafishwa juu tu, mama kaamua kuliinua na kusafisha kuanzia chini ya kapeti
Anasafisha nyumba ila hatoi uchafu nje bali anaufagilia chini ya kapeti.
1617604681133.png
 
Bibie nakusarimia tu
We Mama mimi nimeoa na sitaki mchepuko,acha kunishobokea,
Wewe ni punguani huna ujualo,wewe ni mzigo wa uchafu humu jf? unashobokea mwanaume utaletewa posa kiazi wewe,tafuta kazi ya kufanya kuliko kunifuatilia kidume niliyekukataa,usijipendekeze sina haja nawe,narudia tena nimesha oa huna nafasi,endelea kutafuta bahati yako kwa wengine,

Nilisha kwambia kua kajifundishe kuandika kwanza "Nakusarimia" ndio lugha gani wewe hamnazo?
 
Samahani sikujua kama wewe lesbian
 
Back
Top Bottom