Kipanya aibuka na Mama Samia

Kipanya aibuka na Mama Samia

Mama anasafisha nyumba bila kutoa kapeti lenye kunguni
Atazunguka nao sana
 
Nimeona kamfupa kametolewa chini sijui ndio ile kazi ya watu wasiojulikana
 
Kiboko ya MATAGA kama wewe

Laiti Ungejua nahisi ungelia sana.... na ungeacha kabisa kupepeta maneno usiyoyajua hapa jukwaani

Ila wacha nikupe pole tuu wewe mwanaume mwenye kijiba cha roho🤣🤣🤣🤣

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿👍🔥

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli 🕊
 
Mama anaonekana kama kaanza kazi siku ya kuapishwa lakinj huyu mama yupo na JPM miaka 6 akiwa msaidizi wake number 1 kama ni uchafu ameshiriki kwa 100%kuchafua sema anachofanya ni kuwaadaa watanzania na kuweka watu wake kwa mgongo wa kusafisha haya mmewekewa kada wa CCM TPDC ambae hajawahi kufanya sehemu yeyote zaidi ya CCM yajayo yanafurahisha .
 
kwa hiyo kama takataka na yeye aondoke si alichaguliwa na makufuli na yeye hatufai
 
kipanya mjanja saana sasa hapo katuacha njia panda yaani haijulikani huu uchafu unafichwa au ndo unatolewa
Nadhani ndiyo anautoa huo uchafu akimaanisha mataga woote wasiyo itakia mema nchi yetu
 
Hata Magufuli aliwahi kuchorwa ana pasi Tanzania, so cjaona jipya hapo
 
Uchafu uliokuwa chini ya Kapeti..
Mama kaja kuutoa.. unaonekana
 
kapeti safi lakini kumbe chini yake kuna matakataka kibao
 
Back
Top Bottom