Thanx mkuu nitafanya keshoCheki blood pressure kwanza pia kwani ndio chanzo kikubwa cha kipanda uso.dawa yake ni vasograin na inapatikana kwenye pharmacy
Atakwambia kunywa mkojo wa Punda. Halafu ukimbishia kidogo mkali huyo!
Vipi huna za kingoni?
Ushauri wangu ni waTiba Mbadala sina ushauri wakumwambia mtu akatumie Asprin au Panadol kwenda na Dawa za kizungu sina mpango nazo mimi. Dawa ninazoziamini ni Dawa za Tiba mbadala, ukitaka Dawa za kizungu nenda hospitali zimejaa Tele Fixed PointPole sana. Ungeweka ile jukwaa la madakitari wangekusaidia.
cc. @MziziMkavu ila huyu wakati mwingine ana ushauri kama wa mganga wa kienyeji, lol!
Mkuu FP anakuchokoza tu, anajua fika wewe ni MziziMkavu wala sio zahanati. teh tehUshauri wangu ni waTiba Mbadala sina ushauri wakumwambia mtu akatumie Asprin au Panadol kwenda na Dawa za kizungu sina mpango nazo mimi. Dawa ninazoziamini ni Dawa za Tiba mbadala, ukitaka Dawa za kizungu nenda hospitali zimejaa Tele Fixed Point
Mkuu smile, jee umeshapima macho hivi karibuni..??Helo wanaJF,
Mwenzenu nasumbuliwa na kichwa kuuma usiku, nimeambiwa ni kipanda uso sijui? yaani usiku jana nimeumwa kweli kweli.
Mara nyingi huwa naumwa asubuhi wakati wa kuamka kama dkk 3 hivi then kinapotea nakuwa ok.Nakunywa maji sana hata lt 3 kwa siku .
Naombeni mwenye kujua dawa mwenzenu nita rip!
nifanye mastabation nitapona?..maana kugegedwa hell no
Kujamiiana kunatibu tatizo la Kipanda uso
Je umeshawahi kujiuliza maumivu ya kichwa yanayofahamika kama kipanda uso yanatokana na kitu gani? Kwa nini watu wanakuwa na kipanda uso? Kuna maelezo mengi sana kuhusu tatizo hili. Kwa sababu huenda hujajiuliza ni kwa nini watu wanapata kipanda uso, ningependa kukusaidia ili ujue kwa upana kuhusu kisirani hiki. Lakini usishangae.
Kwa mujibu wa wataalamu ni kwamba, maumivu hayo ya kichwa ni ya hamu ya tendo la ndoa kwa anayeumwa. Imebainika kwamba, watu wenye kupatwa na tatizo la kipanda uso, kwa kawaida wanakuwa na hamu kubwa ya tendo la ndoa, tena kwa kiwando cha zaidi ya asilimia 20, ukilinganisha na wale ambao wanakabiliwa na maumivu ya kichwa yanayotokana na wasiwasi au sababu nyingine. Pia imethibitika kwamba, wanaume ndio wanaoonekana kuathirika zaidi na tatizo hili kuliko wanawake.
Kwa nini kuwe na ukaribu huo, kati ya kipanda uso na hamu ya tendo la ndoa? Tofauti na ambavyo inaweza ikaelezwa kwamba, hamu ya tendo la ndoa ndiyo yenye kusababisha kipanda uso, ukweli unahusu zaidi kemikali za ubongo kuwa ndiyo chanzo hasa cha tatizo hili. Ushahidi wa kitaalamu umeonesha ukweli huo. Wataalamu wa Chuo Kikuu cha Wake Forest huko nchini Marekani kwa mfano, wamesema kwamba, kemikali yenye kuathiri tendo la ndoa huko kwenye ubongo, ndiyo hiyohiyo yenye kuathiri au kusababisha kipanda uso.
Jarida la Headache linaeleza kwamba, kuna uhusiano kati ya hamu ya tendo la ndoa na kipanda uso. Kemikali inayosababisha msongo ambayo, hufahamika kama serotonin ndiyo ambayo inahusishwa na jambo hili. Kemikali hii inayopatikana kwenye eneo fulani la ubongo, huharibu hali mbalimbali, ikiwemo hamu ya tendo la ndoa, usingizi, hamu ya kula na hali nyingine. Kemiali hii inapokuwa nyingi, mtu hujikuta akiwa hana hamu ya tendo la ndoa. Watu wanaopatwa na kipanda uso , kwa kawaida wanakuwa na kiwango cha chini kabisa cha kemikali hii.
Kwa sababu, kemikali hii inapokuwa nyingi , mtu huwa na kiwango kidogo cha hamu ya endo la ndoa, na inapokuwa kidogo, humfanya mtu kuwa na hamu kubwa ya tendo la ndoa, na huo ndio uhusiano unaokuwepo. Hii ina maana kwamba, ambaye anapatwa na tatizo la kipanda uso, nabidi ajue kwamba, uwezekano wa kuwa na hamu ya tendo la ndoa kwa kiwango cha juu ni mkubwa. Kwa hiyo kwa kushiriki kwake tendo la ndoa kutaongeza kiwango cha kemikali hiyo na mamivu yatatoweka…..Bibie Smile njoo uwe mpenzi wangu nikutibu kipanda uso chako kitapona inshallah...
Bibie Smile ni kweli mimi ndio ulikuwa ugonjwa wangu miaka 20 iliyopita nilikuwa ninajifanya Mlokole basi kila siku ninaumwa na kichwa cha upande mmoja Kipanda uso Tangu niowe niwe na mke kimeondoka ninafanya nae mapenzi kila wiki mara zangu 3 tosha kwa kila kitu Sex ni dawa nzuri kwa kila maradhi.whaaaat? kweli mkuu?
Sijawai ila sina tatizo la macho.Mkuu smile, jee umeshapima macho hivi karibuni..??
Hii juice sidhani kama ni dawa kwa sababu huku dom ni msimu wa hizo zabibu na mimi huwa napipenda kweli..tena nilidhani ndo zinanisababishia maana kwa siku nakula hata vichane vitano, hiyo sio labda kama hizi zabibu za hapa ni feki..ila zinatoka shambani kabisa kuna mkulima ananiletea fresh kabisa.Bibie Smile ni kweli mimi ndio ulikuwa ugonjwa wangu miaka 20 iliyopita nilikuwa ninajifanya Mlokole basi kila siku ninaumwa na kichwa cha upande mmoja Kipanda uso Tangu niowe niwe na mke kimeondoka ninafanya nae mapenzi kila wiki mara zangu 3 tosha kwa kila kitu Sex ni dawa nzuri kwa kila maradhi.
Dawa ingine ya Kipanda Uso hii hapa chini.
Dawa ya Maradhi ya Kipanda Uso Migrane:Grapes juice: Juice ya zabibu zilizoiva ndio dawa ya migrane, utumie kiwango kidogo cha juice hiyo atumia hadi atakapo ona kuwa amepata nafuu! Inshallah itamsaidia shemeji atumie kisha uje hapa unipe Feedback.
Grape Juice Juisi ya Zabibu Dawa ya Ugonjwa wa Kipanda uso Migraine. Chanzo. MziziMkavu Mtaalam na Mtafiti wa Dawa za Mitishamba.
Samahani kwani wewe Bibie Smile kabila lako ni mchaga nini? Maana Wachaga kwa ubishi hauwawezi kamaunajuwa kiingereza soma chini hapa. Ninakuuliza Swali Je una Matatizo ya ukosefu wa kupata choo kikubwa? Pia kipanda uso kinachangia kama hupati choo kikubwa kwa ulaini. Soma hapa chini Faida ya Juisi ya Zabibu.Hii juice sidhani kama ni dawa kwa sababu huku dom ni msimu wa hizo zabibu na mimi huwa napipenda kweli..tena nilidhani ndo zinanisababishia maana kwa siku nakula hata vichane vitano....hiyo sio labda kama hizi zabibu za hapa ni feki..ila zinatoka shambani kabisa kuna mkulima ananiletea fresh kabisa
Sasa mi nalala kwenye shamba la zabibu si unaniona jirani?Aisee. Smile wewe, hebu nenda hosp kama humtaki MziziMkavu
helo wadauz
mwenzenu nasumbuliwa na kichwa kuuma usiku nimeambiwa ni kipanda uso sijui
? yaani usiku jana nimeumwa kweli kweli..
mara nyingi huwa naumwa asubuhi wakati wa kuamka kama dkk 3 hivi then kinapotea nakuwa ok.
nakunywa maji sana hata lt 3 kwa siku .
naombeni mwenye kujua dawa mwenzenu nita rip!