Nini kinaweza kuwa chanzo cha maumivu ya mgongo kwa mdau wetu hapa?

oby7

Member
Dec 30, 2019
9
4
Habari ndugu wadau?

Nina maumivu ya mgongo nyuma ya kifua. Je, naweza kua ni dalili mbaya?

Kuanzia mwaka 2009-2012 niliwahi kuugua aina fulani ya jipu mguuni, na nilifanyiwa Operation mbili kwa nyakati tofauti kwasababu madaktari walidai kuwa ni infection disease hivyo inabidi nifanyiwe upasuaji ili waondoe chanzo cha tatizo na katika kipindi chote hiki (miaka 4) nilikua nikitumia dawa tofauti tofauti kwaajili ya kujitibia.

Je, nawezekana matumizi ya dawa kwa muda mrefu yakawa yamechangia kwa kiasi fulani kuwepo kwa maumivu haya, au maumivu hayo ni ya kawaida tu niendelee kuishi nayo?

Msaada tafadhali!
 
Dalili mbaya sana iyo na inatesa sana
 
Yas inawezekana

Maana dawa za maumivu zinaweza kuchelewesha uponaji hivyo ukaharibika zaidi au maumivu yakawa chronic. Tutumie kwa kiasi tu.

Lakini pia umewaona maphysiotherapist?
 
Back
Top Bottom