Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Wewe mzee Mtambuzi acha kuponda dawa zetu za asilia babu yako ndio dawa za asaili ndizo zilizomfanya akamzaa baba yako upo pamoja na mimi mzee Mtambuzi? uzee wako unakujia vibaya dawa za mitishamba ndio kiboko ya dawa zote acha kuponda wewe Mzee.Bujibuji zile dawa za miti shamba hazifai kitu, siku hizi tiba imegundulika.
Bofya hapo chini upate maelezo kuhusu tiba hiyo
https://www.jamiiforums.com/mahusia...miiana-kunatibu-tatizo-la-kipanda-uso%85.html
Last edited by a moderator: