Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
- Thread starter
- #61
Kinywaji utagharamia? Lolz
upendacho. Nitakununulia na nyama ya ulimi
Kinywaji utagharamia? Lolz
upendacho. Nitakununulia na nyama ya ulimi
Ulimi wa ng'ombe?
yap! Ulidhani wangu? Utapata mchemsho na wa kuchoma
Hahahaha. . .kwani wako uko kwenye Menu?
Hhm wa kuchoma sijawahi kula. . . ngoja nikija ntajaribu.
wangu uko kwenye menyu ya talking therapy. Huo wa ng'ombe wa kuchoma ni mtam balaa!
Talking therapy ehhh? How does that work?
Basi itabidi nijaribu aisee.
Embu nipe picha kwa maneno ILIKUWAJE?talking therapy nzuri sana. Ukipata mtu anajua kuipractice ni noma. Lakini kama ungekuwa pale jb belmonte siku ya alhamis jioni ungeielewa zaidi
Embu nipe picha kwa maneno ILIKUWAJE?
Na inafanyaje kazi?
jG hutaki nijue nini? Acha nifaidi mtoto wa watu.We mtu hyo chimba chimba ilimponza Kuku! Lol...
Hey Raia hvi hlo zoezi la Kiota liliishia wapi? Nakumbuka nlvote!
jG hutaki nijue nini? Acha nifaidi mtoto wa watu.
Embu nipe picha kwa maneno ILIKUWAJE?
Na inafanyaje kazi?
We mtu hyo chimba chimba ilimponza Kuku! Lol...
Hey Raia hvi hlo zoezi la Kiota liliishia wapi? Nakumbuka nlvote!
Hhhhhmmmmmhahahahaha mi nacheka tu, ulivyong'ang'ana.
Poa na mimi utanifundisha basi
mi mvivu sana kuandika. Hope unamjua psychologist mmoja anaitwa chris mauki. Tafuta cd zake. Na utazipata kupitia hawa jamaa wa east africa speakers bureau
Hhmmm. . .
Simfahamu, ntajaribu kujiongelesha mwenyewe.
Hhmmm. . .
Simfahamu, ntajaribu kujiongelesha mwenyewe.
ntachukua hyo kazi usijali, kesho naenda kwa Bi kidude atanipa skillz.
Nilijua tu RF hatofika mbali lol
mkuu naona eneo la tukio lina wadau wengi sana. Hope wapo waliorespond kimyakimya maana vijana wanajipa raha zao kwa wingi tu hapa calabash, na liveband safi. Kuna mdingi mmoja anakung'uta saxofone kama hana akili nzuri. Kenny G cha mtoto
dah! Hiyo kali talking therapy inahitaji dialog, mama. Wish ningekupa hiyo kitu. Pia nenda kwenye tovuti ya EASB utamwona huyu mwanasaikolojia. Ni mchaga, ni mtanzania