Kiota/makutano junction

Kipi kiota bora cha wadau kukutana?

  • Nyumbani Lounge

    Votes: 1 6.7%
  • Mafian Lounge

    Votes: 0 0.0%
  • Run away

    Votes: 0 0.0%
  • Didiz

    Votes: 0 0.0%
  • Break Point

    Votes: 0 0.0%
  • Samaki Samaki

    Votes: 3 20.0%
  • Calabash

    Votes: 6 40.0%
  • Mzalendo Pub

    Votes: 3 20.0%
  • TCC Chang'ombe

    Votes: 2 13.3%

  • Total voters
    15
  • Poll closed .
yawezekana kabisa haya maeneo hayajulikani kwa wengi, mi nikiwa mmojawapo.
 
coco banger haihusiki au pembezoni mwa bahari siyo?kama vipi mafian!acha nipige kura yangu!
 
1.si unajua jiji kubwa hili ukitaja kiwanja taja na sehemu kilipo.
2.hili zoezi la kura usimamie mwenyewe msalaba wako. Akuratibie nani mkuu???
3.halafu kila mtu ana interest zake.ukitaja sehemu taja na masifa ya hiyo sehemu sio hivihivi
watu watapigaje kura hata mgombea hawamjui yeye wala chama chake???
 
hapa inabidi tuwabane kaizer na kongosho, ndio waliokuja na hii list kisha nikaikombaini. Sasa watuambie kinagaubaga wasifu wa maeneo husika. Mi mjumbe tu
 
Jamani na mimi demu wangu ana ka-pub kake kanaitwa Wallet Pub kapo pande za Tbt.kapigieni promo kiaina basi.
 
Nakapata sana hako. Kapo hapo karibu na shule sio? Ila huwa napita siwahawahi pata huduma hapo. Ila na wewe upige kura
 
hatimaye pamoja na kusuasua kwa kura, calabash imepata ushindi mwembamba wa kura 6 na kuvibwaga viota vingine. Salute kwa waliopiga kura. Hata kwa wale ambao hawakupiga, calabash is the place.

Calabash iko barabara ya sam nujoma, karibia na mwenge. Mtu yoyote maeneo ya mwenge atakuelekeza calabash ilipo. Hapo ndio patakuwa angalau eneo la mtu kujisikia kukutana na kujenga mahusiano (ya kirafiki, kibiashara, kimapenzi, n.k) bila kuanza kuchimbachimba kama we ni memba ama la!

Nawasihi twende kwa wingi tu maana jf tuko wengi pia. Make calabash your meeting point, guys.

Thanks and Merry x mass to all!!!!!!!!!!!!!!
 
Kaka mimi naona hii imekaa ki promo zaidi ilipaswa uijengee uhalali kwenye matangazo madogomadogo.

Msimamizi wa kura alikuwa nani? Yasije yakawa kama yale ya Kabila Kabange Jr vs Etiene Tshisekedi, ha ha ha haaaaa!
 
kura sijapiga peke yangu aisee. Palikuwa na viota 9. Suala ni sehem ya kukutana wadau ikiwezekana bila kujuana. Nenda hapo utakuta unachohitaji. Pia unaweza muuliza RR kwa maelezo zaidi
 
niko hapa calabash-mwenge. Sikuwahi kukaa hapo kabla japo huwa napita sana. Pamekaa vizuri sana na % kubwa ni vijana waliochangamka, me kwa ke. Karibuni sana

NB: sina nasaba napo kwa namna yoyote. Ni pazuri tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom