JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 63
Jaman naomba msaada wa kupata kioo(touch) ya nokia lumia 820,maana simu yangu ilidondoka na kioo kimecrack ,Je huwa zinapatikana? na kama zinapatikana wap na bei gan?

display 30,000 na touch 25,000/= jumla na fundi 60,000/= tu.Lumia unatakakiwa ubadili kioo pamoja na
gharama ya kubadili touch na display inaweza kufika laki na nusu zaidi pale midicom
display 30,000 na touch 25,000/= jumla na fundi 60,000/= tu.