Former or future CCM leader?😁Kati ya viongozi wa CCM unaowajua ni yupi akisema jambo kuhusu Taifa letu la Tanzania utaamini kuwa anasema ukweli?
Formers are not leaders, they are just "was" leaders.... Kiongozi ni lazima uongoze!Former or future CCM leader?😁
Hakunaaaa (kwa voice ya yule bibi)Kati ya viongozi wa CCM unaowajua ni yupi akisema jambo kuhusu Taifa letu la Tanzania utaamini kuwa anasema ukweli?
That was my way of saying there’s none!Formers are not leaders, they are just "was" leaders.... Kiongozi ni lazima uongoze!
Mimi nita mwamini tu,siku mzee wagombe akaniambia kwa mdomo wake kuwa katokea Gombe!Wengine wote sitawaamini kamwe asilani.Kati ya viongozi wa CCM unaowajua ni yupi akisema jambo kuhusu Taifa letu la Tanzania utaamini kuwa anasema ukweli?