Kiongozi wetu, ACT - Wazalendo Zitto Kabwe

Zitto kaleta maendeleo jimboni kwake kwa sababu ya kupiga kelele bungeni na kufuatilia idara/wizara husika. Usipofanya hivyo sahau maendeleo jimboni kwako.

Kosa kubwa alilofanya ni kufanya uchuuzi katika siasa kwamba unaweza kula huku na kule maisha yakasonga mbele!
 
mkuu unajidhalilisha. isikilize tena hiyo script. yaelekea hujaelewa maana ulichondika hapa ni irrelevant.
Mkuu unajua maana ya kujidhalilisha ama unatumia tu hilo neno bila kujua maana yake?
 
Zitto kaleta maendeleo jimboni kwake kwa sababu ya kupiga kelele bungeni na kufuatilia idara/wizara husika. Usipofanya hivyo sahau maendeleo jimboni kwako.

Kosa kubwa alilofanya ni kufanya uchuuzi katika siasa kwamba unaweza kula huku na kule maisha yakasonga mbele!

Kwa jina lingine anastahili kuitwa ndumila kuwili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom